VIONGOZI, WAFANYABIASHARA WA DRC WATINGA NCHINI
Viongozi pamoja na wafanyabiashara kutoka jimbo la Katanga katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wamewasili nchini kwa ziara inayolenga kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya nchi hiyo na...
View ArticleTANZANIA, UHOLANZI KUIMARISHA USALAMA SEKTA YA ANGA
Wizara ya Uchukuzi imesaini mkataba na Uholanzi kwa ajili ya kuongeza wigo wa safari za ndege baina ya nchi hizo (BASA) kukabili changamoto za usafiri wa anga pamoja na kuongeza ulinzi na usalama...
View ArticleKAZI YA KUSAJILI VIZAZI KUFANYWA NA SERIKALI ZA MITAA
Wizara ya Katiba na Sheria imeanza kuboresha kazi ya kusajili vizazi kwa kugatua majukumu hayo kutoka serikali kuu kwenda serikali za mitaa.Mkakati huo tayari umeanza kutekelezwa katika wilaya ya...
View ArticleHOJA YA KUMNG'OA SPIKA BUNGE AFRIKA MASHARIKI BADO IKO HAI
Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wamesisitiza kuwa mpango wa kumng’oa Spika wa Bunge hilo, Margaret Zziwa liko pale pale licha ya wabunge watatu wa Tanzania kuondoa saini zao....
View ArticleDIT WAANDAMANA KUPINGA KUZUIWA KUFANYA MITIHANI
Wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) jana waliandamana kwenda Wizara ya Sayansi na Teknolojia wakidai hawajaridhishwa na uamuzi wa uongozi wa chuo kuwazuia wanafunzi 684 kufanya...
View ArticleTIBA ASILI WANAODAI KUTIBU UKIMWI SASA KUKAMATWA
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeagiza vyombo vya dola, kukamata waganga wa jadi, wanaojitangaza kutibu magonjwa ya Ukimwi, kisukari na shinikizo la damu.Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya na...
View ArticleBABA WA 'MTOTO WA BOKSI' AKWAMA KUMZIKA MWANAWE
Safari ya mwisho ya mtoto Nasra Mvungi (4), iliyokuwa ya mateso hapa duniani, imefikia mwisho jana katika makaburi ya Kola, Manispaa ya Morogoro, bila kusindikizwa na baba yake mzazi, Rashid...
View ArticleNAULI ZA DALADALA DAR KUPANDA HADI SHILINGI 800
Hatimaye picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi...
View ArticleFABREGAS SHOULD REJOIN ARSENAL, SAYS CARZOLA
Arsenal midfielder Santi Cazorla would love to see Spanish compatriot Cesc Fabregas rejoin the London side with a return to the Premier League mooted for the Barcelona player.Fabregas, who came through...
View ArticleArticle 3
Baadhi ya wasanii wa filamu nchini wakiweka sawa jeneza lenye mwili wa Mwongozaji filamu mashuhuri nchini, George Otieno Okomu 'Tyson' tayari kwa zoezi la kutoa heshima za mwisho kwenye Viwanja vya...
View ArticleArticle 2
Aliyekuwa mke wa marehemu George Tyson, Yvonne Cherry 'Monalisa' akiwa na binti yake pekee aliyezaa na Tyson, kabla ya zoezi la kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu kwenye Viwanja vya Leaders...
View ArticleArticle 1
Mwendeshaji wa kipindi cha televisheni cha The Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili kushoto) akionekana mwenye mawazo mno muda mfupi kabla ya kuuaga mwili wa George Otieno 'Tyson' mapema leo kwenye...
View ArticleArticle 0
Mwendeshaji wa kipindi cha televisheni cha Wanawake Live, Joyce Kiria (katikati) akili kwa uchungu wakati akielezea alivyomfahamu marehemu George Otieno 'Tyson' kabla ya zoezi ya kuuaga mwili wa...
View ArticleArticle 16
Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusela akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na wasanii watakaotoa burudani kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu la...
View ArticleArticle 15
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge, kutoka kushoto Sylvester Mabumba (Dole), Zainab Kawawa (Viti Maalum), Vita Kawawa (Namtumbo) na Mwanaharakati wa Haki za Wanawake na Watoto, Mama...
View ArticleArticle 14
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na Balozi Mdogo wa Misri anayemaliza muda wake, Walid Ismail, wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Migombani, mjini...
View ArticleArticle 13
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi na Taasisi zake wakiwa kwenye zoezi la usafi wa mazingira katika eneo la ufukwe wa Bandari ya Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani.
View ArticleSERIKALI YARIDHISHWA NA KITENGO CHA USALAMA TPA
Serikali imeeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa kitengo cha usalama cha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kutokana na kilivyoimarisha ulinzi katika bandari na hivyo kuchangia kuongeza ufanisi. Waziri...
View Article