$ 0 0 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa , Eng. Angelina Madete akijibu maswali ya walimu wa Shule ya Sekondari Lumala iliyoko wialayani Ilemela, mkoa wa Mwanza (hawapo pichani) aliyoulizwa kuhusu suala zima la Siku ya Mazingira Duniani leo.