MARTINO QUITS AS BARCELONA MANAGER
Gerardo Martino stepped down as Barcelona coach after they missed out on the Liga title in a 1-1 draw with champions Atletico Madrid.Martino had been widely expected to leave, win or lose in Saturday...
View ArticleARSENAL END DROUGHT WITH COMEBACK WIN OVER HULL CITY
Arsenal ended their nine-year run without a trophy as they beat Hull City 3-2 after extra time to claim the FA Cup at Wembley Stadium.Arsene Wenger’s last bit of silverware came back in 2005 when they...
View ArticleArticle 15
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu na mkewe, Bella wakiweka shada la maua juu ya kaburi la mtoto wao, Private Brian, aliyezikwa jana kwenye makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.
View ArticleArticle 14
Mwili wa mwigizaji na mwongozaji filamu mashuhuri hapa nchini, Adam Philip Kuambiana ukibebwa kutolewa kwenye Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge tayari kwa kupelekwa chumba cha maiti cha Hospitali...
View ArticleArticle 13
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la Private Brian Salva Rweyemamu katika makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam jana. Private Brian ambaye ni mtoto wa...
View ArticleArticle 12
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond' akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya kuanza onesho lililoandaliwa na Kituo cha televisheni cha MTV Base, kwenye ukumbi...
View ArticleKAGERA WASHAURIWA KULIMA VIAZI VITAMU KIBIASHARA
Wananchi wa mkoa wa Kagera wameshauriwa kuingia katika kilimo cha biashara kwa kulima zao mbadala la viazi vitamu ili kuongeza kipato na chakula kutokana na zao kuu la biashara na chakula la mkoa huo...
View ArticleWANASAYANSI WAIKUMBUSHA SERIKALI KINGA DHIDI YA MALARIA
Wanasayansi nchini wameshauri serikali kuwekeza zaidi katika kinga kukabiliana na ugonjwa wa malaria nchini na sio kuwekeza fedha nyingi katika dawa. Wameeleza kuwa nchi nyingi duniani wameweza...
View ArticleMKUU WA MKOA ATAKA WAKAZI DAR KUWA WASAFI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik amewataka wakazi wa mkoa wake kuwajibika kusafisha mazingira yanayowazunguka na kuachana na tabia ya kuzilaumu Halmashauri za Manispaa. Akizungumza kwenye...
View ArticleMGOMO WA WAFANYAKAZI TAZARA SASA KIZUNGUMKUTI
Mgomo wa wafanyakazi wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), haujafahamika hatma yake kutokana kikao cha bodi kilichotarajiwa kufanyika juzi au jana kushindikana. Mkurugenzi Mkuu wa Tazara,...
View ArticleMBUNGE ATAKA UFAFANUZI WACHIMBAJI TANZANITE
Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka ameitaka Wizara ya Nishati na Madini kupitia waziri wake, Sospeter Muhongo kutoa ufafanuzi wa kina juu ya kuondolewa kwa wachimbaji wadogo wa madini ya...
View ArticleKATIBU MKUU UWT AMTETEA MAMA SALMA KIKWETE
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Amina Makilagi amesema si sawa kumshutumu Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kuwa alitumia nafasi aliyonayo kama Mwenyekiti wa Shirika lisilo la Kiserikali...
View ArticleWANACCM WASIKITIKIA VIJEMBE VYA BUNGENI
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wamesema wanasikitishwa na tabia za viongozi wa CCM badala ya kujadili matatizo ya wananchi bungeni wanaanza kutupiana vijembe na wapinzani. Akisoma risala katika...
View ArticleWAZIRI ATAJA CHANGAMOTO ZA NGO KUTEGEMEA WAFADHILI
Idadi ya mashirika yasiyo ya kiserikali imeongezeka kutoka 3,000 mwaka 2001 hadi kufikia 6,427 Machi mwaka huu ambapo kati ya hayo mashirika 254 ni ya kimataifa. Hayo yalisemwa jana na Waziri wa...
View ArticleVINASABA VYASAIDIA SERIKALI KUVUNA BILIONI 33.53/- SEKTA YA MAFUTA
Vitendo vya uchakachuaji mafuta vimeweza kudhibitiwa na kuiwezesha serikali kupata mapato ya Sh bilioni 33.53 tangu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) ilipochukua hatua ya...
View ArticleMFUKO MAALUMU WAANZISHWA KUBORESHA MAKAZI YA ASKARI
Mfuko maalumu wa kukusanya fedha kwa ajili ya kuboresha makazi ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwemo askari, umeanzishwa ukilenga kuwezesha kupata nyumba na ofisi zaidi bila...
View ArticleWANAOUZA WASICHANA WADOGO KUFANYA UKAHABA CHINA WANASWA
Baada ya kuwepo malalamiko ya wasichana wadogo wa nchini kusafirishwa kwenda China kutumikishwa katika biashara ya ngono pamoja na dawa za kulevya, sasa serikali imenasa mtandao huo.Waziri wa Mambo ya...
View ArticleDAKTARI ASAHAU KITAMBAA TUMBONI MWA MGONJWA TABORA
Mkazi wa wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Mwamini Adamu ametolewa mfuko wa kizazi na kukatwa sehemu ya utumbo baada ya mganga wa idara ya upasuaji katika wilaya hiyo kusahau kitambaa tumboni kwa...
View ArticleNDEGE ZA ATC KARIBU KUANZA KUNG'ARA TENA HEWANI
Shirika la Ndege Tanzania (ATC), lipo karibu kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman, kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri Serikali kukamilisha taratibu...
View Article