BIASHARA YA NGONO YADAIWA KUCHOCHEA MAAMBUKIZI YA UKIMWI
Biashara ya ngono kuingiliana kinyume na maumbile pamoja na matumizi ya dawa za kulevya vimetajwa kuwa kikwazo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi. Mwakilishi wa Tume ya Taifa ya kudhibiti...
View ArticleMVUA SASA KUNYESHA KWA WASTANI
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema mvua zitakazoendelea kunyesha kwa sasa ni za kiasi.Wakati TMA ikitoa taarifa hiyo jana, usafiri wa mabasi yaendayo mikoani kutoka jijini Dar es Salaam jana...
View ArticleAOMBA WABUNGE KUCHANGIA POSHO ZAO KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Profesa Mark Mwandosya ameomba Bunge Maalumu la Katiba, kukata posho ya siku moja ya wajumbe wote wa Bunge hilo ili kuwapa pole waathirika wa mafuriko nchini, ikiwa ni...
View ArticleKINANA AGEUKA MBOGO KUHUSU ZABUNI ZA UJENZI
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, amejikuta akigeuka mbogo na kuwaomba radhi wakazi wa kata ya Kirema, wilayani Mpanda mkoani Katavi, baada ya kubaini kuwa, watendaji wa Serikali wamempatia zabuni...
View ArticleWALALAMIKIA BARABARA YA SINZA - MAGOMENI MOROCCO
Watumiaji wa Barabara ya Sinza hadi Magomeni Morocco kupitia eneo la kwa Mtogole, wameilalamikia Manispaa ya Kinondoni kwa kuchelewesha upanuzi wa barabara hiyo na hivyo kuhatarisha usalama...
View ArticleMKAPA AHIMIZA WAFUGAJI KUPELEKA WATOTO SHULENI
Rais mstaafu Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka jamii ya wafugaji wa Kimasai wilayani Monduli mkoani Arusha kuhakikisha inapeleka watoto wao. Ameshauri wahakikishe wanasimamia na kufuatilia...
View ArticleCRDB YACHANGIA SHEREHE ZA MUUNGANO WASHINGTON DC
Benki ya CRDB imekabidhi Sh 800,000 kwa ubalozi wa Tanzania nchini MarekaniÊ kuchangia gharama za maandalizi ya maadhimisho ya kihistoria ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Akikabidhi...
View ArticleArticle 24
Kazi ya kuuhifadhi mwili wa nguli wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Gurumo ikiendelea huko Kisarawe jana.
View ArticleArticle 23
Mmoja wa waigizaji mahiri wa filamu hapa nchini, Mahsen Awadhi 'Dk Cheni' (wa kwanza kushoto waliokaa) alikuwa miongoni wa maelfu ya waombolezaji kwenye msiba wa Mzee Gurumo jana.
View ArticleArticle 22
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal akimpa mkono wa pole Mzee Kassim Mapili kufuatia msiba wa mkongwe mwenzake Mzee Muhidin Gurumo, jana.
View ArticleBARABARA ZILIZOATHIRIWA NA MVUA SASA ZAANZA KUPITIKA
Sehemu kubwa ya barabara zilizoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali hususani jijini Dar es Salaam, zimeanza kupitika baada ya matengenezo ya dharura.Msemaji wa Wizara ya...
View ArticleArticle 20
Kutolewa hadharani kwa Hati ya Muungano, kumeanza kuwachanganya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).Hali hiyo imejitokeza wakati...
View ArticleMAJAMBAZI YAPORA FUKO LA FEDHA BENKI YA BARCLAYS
Majambazi wenye silaha wamepora fedha zinazokisiwa kufikia Sh milioni 300 katika Benki ya Barclays tawi la Kinondoni `TX Market' jijini Dar es Salaam.Mashuhuda wa tukio hilo, wamedai kuwa uporaji huo...
View ArticleSUMATRA YAONYA UPANDISHAJI HOLELA WA NAULI
Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imeonya wanaopandisha kiholela nauli za mabasi wakati maandalizi ya sikukuu ya Pasaka.Ofisa Mfawidhi wa Sumatra Kanda ya Mashariki, Conrad Shiyo...
View ArticleWANAFUNZI, SHULE ZINAZOFANYA VEMA KUZAWADIWA
Katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika sekta ya Elimu, Serikali itazawadia wanafunzi na shule zilizofanya vyema katika mitihani ya Elimu ya msingi na Sekondari.Hayo yalisemwa...
View ArticlePOLISI YATANGAZA DAU MILIONI 10/- KUMNASA MLIPUAJI MABOMU
Baada ya mlipuko wa bomu kutokea juzi jijini Arusha, polisi imesihi wananchi kuchukua hadhari, hususan maeneo yenye mkusanyiko na kutoa taarifa juu ya wanaowahisi mienendo yao si mizuri.Aidha polisi...
View ArticleMAFURIKO DAR YAUA WATU 41
Mafuriko yaliyotokea Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki yamesababisha vifo vya watu 41. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki alisema vifo 25 vimethibitishwa. Ameagiza polisi kufanya...
View ArticleUJENZI WA MTANDAO WA MAWASILIANO WA SERIKALI WAANZA
Serikali imesaini mikataba miwili na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) pamoja na Soft Net kwa ajili ya ujenzi wa mtandao wa mawasiliano wa serikali utakaohusisha taasisi 72.Akizungumza jana Dar es Salaam...
View ArticleVETA KUPIMA VYUO KWA KUANGALIA WANAOJIAJIRI
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (VETA) imesema wataanza kuvipima vyuo vyake binafsi kwa kuangalia idadi ya wahitimu wanaojiajiri na kuajiriwa huku wakisema somo la ujasiriamali ni lazima katika...
View Article