Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4529

AZAM FC YATOLEWA KOMBE LA SHIRIKISHO, YACHAPWA 2-0 MSUMBIJI...

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Wawakilishi wa Tanzania, timu ya soka ya Azam FC imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa timu ya Ferroviario ya Msumbiji muda mfupi uliopita mjini Maputo. Kwa matokeo hayo, Azam imeyaaga mashindano hayo kwa kufungwa jumla ya mabao 2-1. Katika mechi ya kwanza, Azam ilishinda bao 1-0 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4529

Trending Articles