WATOTO WACHANGA WAKEKETWA WILAYANI MANYONI...
Watoto wachanga.Wilaya ya Manyoni mkoani Singida imetajwa kukeketa watoto wachanga, hali ambayo inasababisha vitendo hivyo kushindwa kutokomezwa, licha ya kuwa na madhara makubwa kwa afya.Mkurugenzi...
View ArticleNYARAKA ZA MAHAMAKA ZAHIFADHIWA KWENYE CHOO MPANDA...
Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imefunga choo chake kwa matumizi yaliyokusudiwa, badala yake choo kinahifadhi nyaraka mbalimbali za mahakama hiyo. Aidha, wilayani Ukerewe katika Mkoa wa...
View ArticleFAMILIA YA NYERERE YAPORWA KIWANJA, MABAUNSA 30 WASIMAMIA UJENZI...
Kiwanja hicho kiko jirani na nyumba hii ya Mwalimu Nyerere eneo la Msasani, Dar es Salaam.Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, imeporwa kiwanja ilichokuwa inamiliki na anayedaiwa kuwa...
View ArticleWAZIRI AWASHA MOTO, AWANYANG'ANYA RANCHI WAWEKEZAJI WAZAWA...
Dk Titus Kamani.Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani, ameagiza Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (Narco), kunyang’anya ranchi ndogo za ufugaji zinazomilikiwa na wawekezaji wazawa...
View ArticleWANAFUNZI WASIOJUA KUANDIKA WASOMEA GESI VETA...
Chuo cha VETA Lindi.Wanafunzi 64 waliojiunga katika Chuo cha Mamlaka Ufundi Stadi (Veta) mjini Lindi mkoani humo mwaka jana, baadhi yao wamebainika hawajui kusoma wala kuandika.Mkuu wa Chuo cha Veta...
View Article12 WATIWA MBARONI KWA KUKUTWA NA KILO 201 ZA HEROIN...
Godfrey Nzowa.Raia 12 kutoka katika nchi mbili tofauti, wanashikiliwa Polisi kwa kukutwa wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kilogramu 201, kupitia baharini.Waliokamatwa ni raia wanane kutoka...
View ArticleSERIKALI YAMZUIA MVAMIZI KUJENGA KWENYE KIWANJA CHA MWALIMU NYERERE...
Mama Maria Nyerere.Siku moja baada ya kuripotiwa taarifa za uporaji wa kiwanja cha familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Serikali imeingilia kati na kuzuia ujenzi katika kiwanja hicho,...
View ArticleHATIMAYE 'MDUNGUAJI' WA TARIME ATIWA MBARONI TANGA...
Mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa wilayani hapa, ametiwa mbaroni huku mwenzake akiuawa katika majibizano ya risasi na polisi.Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya kwa kushirikiana na raia wema na Polisi...
View ArticleGODBLESS LEMA AMKWIDA SHATI KIGOGO WA CCM NDANI YA KITUO CHA POLISI...
Godbless Lema akiongozwa na wafuasi wake.Wakati uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata ya Sombetini katika Jiji la Arusha, ukitarajiwa kufanyika kesho, hali imeanza kuwa tete baada ya Katibu wa Chama Cha...
View ArticleCCM WAWATWANGA CHADEMA, WAWAFUNGIA OFISINI KWA DAKIKA 40...
Moja ya matukio ya ghasia kati ya wafuasi wa Chadema na wale wa CCM.Watu watatu akiwemo mwandishi mmoja wa habari wa kujitegemea, wameshambuliwa na wawili kati yao kujeruhiwa, na kundi la watu...
View ArticleMAKALI YA BEI MPYA YA UMEME YAANZA KUNG'ATA WANANCHI WA CHINI...
Mita za kusomea umeme.Makali ya kupanda kwa bei za umeme nchini yameanza kung'ata na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetangaza kuwa nishati hiyo imechangia kuwepo kwa mfumuko wa bei nchini kutoka...
View ArticleMCHUNGAJI MTIKILA APONDA KUTEULIWA KWAKE BUNGE LA KATIBA...
Mchungaji Christopher Mtikila.Wasomi na wanasiasa nchini wameupongeza uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na kueleza kuwa Rais Jakaya Kikwete ametumia busara kuwajumuisha wapingaji na wakosoaji...
View ArticleCCM NA CHADEMA ZAKABANA KOO UCHAGUZI MDOGO KATA...
Masanduku ya kura.Uchaguzi mdogo katika kata 27 umefanyika nchini jana, ambapo mchuano mkubwa katika uchaguzi huo karibu katika kata zote, ulikuwa kati ya CCM walioonekana kupata ushindi katika kata...
View ArticleHUKUMU YA JENGO LA GHOROFA 18 KARIBU NA IKULU KUTOLEWA LEO...
Jengo hilo lenye ghorofa 18 lililoko jijini Dar es Salaam.Hukumu ya kesi ya matumizi mabaya ya ofisi katika utoaji wa kibali cha ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu Dar es Salaam,...
View ArticleMTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA BABA YAKE...
Dk William Mgimwa (kushoto) na mwanae, Godfrey.Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, umeanza kupamba moto ambapo jana mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo na Waziri wa Fedha, Dk...
View ArticleMDUNGUAJI WA TARIME AFARIKI BAADA YA KUKIRI KUUA WATU TISA...
Kamanda Justus Kamugisha.Mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyekuwa akihojiwa Polisi kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili, amefariki katika Hospitali ya...
View ArticleKAMPENI UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE KALENGA KUANZA WIKI IJAYO...
Julius Mallaba.Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepanga ratiba ya Uchaguzi mdogo katika jimbo la Kalenga katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, ambapo siku ya kupiga kura itakuwa Jumapili ya Machi 16,...
View ArticleKANISA LA PENTEKOSTE LAMTAKA KIKWETE AWAKUMBUKE BUNGE LA KATIBA...
Rais Jakaya Kikwete.Baraza la Maaskofu wa Kanisa la Pentekoste Tanzania (PCT) limemwomba Rais Jakaya Kikwete awafikirie kuwapa nafasi za uwakilishi katika Bunge Maalumu la Katiba litakaloanza siku...
View ArticleWAFANYABIASHARA WAIHENYESHA TRA, BADO WAGOMEA MASHINE ZA EFDs...
Baadhi ya maduka Kariakoo, Dar es Salaam yakiwa yamefungwa kuunga mkono mgomo huo.Mgomo wa wafanyabiashara dhidi ya mashine za kielektroniki (EFDs) umetafsiriwa kuwa na ajenda ya siri kutokana na...
View Article