MWALIMU AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME NDANI YA DARASA...
Diane Krish-Veeramany na wenzake watatu mara baada ya kujifungua salama mtoto wa kiume darasani.Mwalimu wa shule ya msingi alilazimika kujifungulia ndani ya darasa pale mtoto wake alipotokeza kabla ya...
View ArticleWATUHUMIWA WALIOINGIZA MABOMU YALIYOTUPWA ARUSHA WAKAMATWA...
Baadhi ya majeruhi wa bomu kwenye mkutano wa hadhara wa Chadema huko Arusha.Watuhumiwa walioingiza mabomu ya kurushwa kwa mkono yaliyotupwa Arusha Mei na Juni katika Kanisa la Mtakatifu Joseph...
View ArticleSHAHIDI ADAI BASIL MRAMBA HAKUITAFUTA KAMPUNI YA ALEX STEWART...
Basil Mramba.Aliyekuwa mfanyakazi wa Benki Kuu (BoT), Kesisia Mbatia (61) ameieleza Mahakama kuwa Waziri wa zamani wa Wizara ya Fedha, Basil Mramba hakuhusika katika mchakato wa kuitafuta kampuni ya...
View ArticleMOTO WA UPINZANI WAZIDI KUSHAMIRI NDANI YA CHAMA CHA WALIMU...
Gratian Mukoba.Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinazidi kupata upinzani kutoka kwa wanachama wake hasa wa shule za msingi, ambapo sasa imeundwa Kamati ya Taifa ya Wanachama wa chama hicho ya kudai...
View ArticleMWANAFUNZI AMCHINJA MWALIMU WAKE DARASANI...
KUSHOTO: Mwalimu Sun Wakang. KULIA: Damu ikiwa imetapakaa darasani muda mfupi baada ya tukio hilo.Mwanafunzi wa China amemchinja mwalimu wake katika kulipiza kisasi baada ya simu yake ya mkononi...
View ArticleRAIS KIKWETE KUSAINI MUSWADA WA SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA....
Rais Jakaya Kikwete.Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe, amesema Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2013, utasainiwa na Rais Jakaya Kikwete kwa kuwa uliwasilishwa...
View ArticleRUBANI WA NDEGE YA ABIRIA 180 ASHITAKIWA KWA KULEWA WAKATI WA SAFARI...
Moja ya ndege za shirika hilo ikiwa safarini.Rubani wa ndege anatarajiwa kupandishwa kizimbani leo baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuwa amelewa wakati akijiandaa kuongoza ndege hiyo.Kapteni huyo wa...
View ArticleWATANZANIA WATAKIWA KUOMBA KUSHIRIKI UCHIMBAJI GESI...
Moja ya mitambo ya uchimbaji gesi.Wizara ya Nishati na Madini imefikia mwafaka na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) katika suala la ugawaji vitalu vya gesi asilia na kukubalika Watanzania washiriki kila...
View ArticleMNIGERIA ATWAA TAJI LA SHINDANO LA MREMBO WA KIISLAMU DUNIANI...
Obabiyi Aishah Ajibola (kushoto) akivikwa taji hilo mara baada ya kutangazwa mshindi nchini Indonesia.Mwanamke wa Nigeria amevishwa taji la Mrembo wa Kiislamu Duniani katika fainali ya shindano hilo la...
View ArticleBINTI APIGWA HADI KUFA, MCHUMBA WAKE AKATWA KICHWA KWA KULAZIMISHA KUOANA...
Moja ya miili ya wapenzi hao.Msichana mmoja wa India ambaye alipigwa hadi kufa na ndugu wa familia yake na rafiki yake wa kiume kukatwa kichwa katika mauaji ya kutisha ya heshima baada ya kuwa...
View ArticleHUYU NDIYE DAKTARI FEKI ALIYENASWA HOSPITALI YA MUHIMBILI...
Dismas John Macha baada ya kukamatwa jana.Daktari anayedaiwa kuwa bandia amekamatwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akiwa na vitambulisho bandia vya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Afya...
View ArticleHATIMAYE MASOGANGE AACHIWA HURU, ALIMWA FAINI SHILINGI MILIONI TANO...
Agnes Gerald 'Masogange'.Habari zilizotufikia zinasema kwamba msanii Agnes Gerald 'Masogange' aliyekuwa amekamatwa nchini Afrika Kusini kwa tuhuma za kukamatwa akisafirisha dawa za kulevya, ameachiwa...
View ArticleWACHIMBAJI TANZANITE WAFA KWA KUKOSA HEWA MGODINI USIKU...
Eneo la machimbo ya Tanzanite.Watu wawili ambao ni wachimbaji wadogo wa madini ya tanzanite katika Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro, Manyara wamekufa wakiwa ndani ya mgodi baada ya kukosa...
View ArticleALIYEMJERUHI MWIGIZAJI AUNTY EZEKIEL APANDISHWA KIZIMBANI...
Aunty Ezekiel.Mfanyabiashara Ivony Maximilian, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kumjeruhi muigizaji wa filamu Aunty Ezekiel kwa chupa wakiwa...
View ArticleKANISA LAJENGWA KUMUENZI HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE...
Askofu Telesphor Mkude.Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Telesphor Mkude, amesema ili amani iendelee kudumu ni vema kila mtu akajua haki na mipaka yake kwenye jamii ili kuepuka mifarakano...
View ArticleFAMILIA YAUAWA KIKATILI KWA KUNYONGWA NA KUCHINJWA...
Sehemu ya Jiji la Mwanza.Watu watatu wa familia moja akiwemo mtoto wa mwaka mmoja wameuawa kikatili kwa kuchinjwa na wawili kunyongwa katika Mtaa wa Ihila, Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana mkoani...
View Article