Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4500

HATIMAYE MASOGANGE AACHIWA HURU, ALIMWA FAINI SHILINGI MILIONI TANO...

$
0
0
Agnes Gerald 'Masogange'.
Habari zilizotufikia zinasema kwamba msanii Agnes Gerald 'Masogange' aliyekuwa amekamatwa nchini Afrika Kusini kwa tuhuma za kukamatwa akisafirisha dawa za kulevya, ameachiwa huru jana.

Mbali na hilo, mahakama ilimtoza faini ya Shilingi milioni tano, ambayo imeelezwa kwamba amelipa na hivyo kumfanya arejee uraiani kuendelea na maisha yake.
Taarifa zaidi zitakujia hapa baadaye.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4500

Trending Articles