Quantcast
Browsing all 4580 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHAMIAJI WA ZIMBABWE ALIYESAMBAZA UKIMWI KWA MAKUSUDI JELA MIAKA MINNE NA...

Mwanaume aliyemwambukiza rafiki yake wa kike virusi vya ukimwi kisha kumshauri 'kutembea ovyo' ili kusambaza virusi hivyo amehukumiwa kifungo cha miaka minne na nusu jela jana.Mtu huyo mwenye miaka 32...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE ABAMBWA AKISAFIRISHA COCAINE KWENYE MIMBA BANDIA...

KUSHOTO: Mwanamke huyo na mimba yake bandia baada ya kukamatwa. KULIA: Uwanja wa ndege wa Bogota.Mwanamke mmoja wa Toronto ambaye alijifanya mjamzito kujaribu kusafirisha kilo mbili za dawa za kulevya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHERIA YA KUWABANA WAFANYABIASHARA WA DAWA ZA KULEVYA YAANZA KUTUNGWA...

Sehemu ya dawa za kulevya iliyowahi kukamatwa hapa nchini.Serikali imeanza kubana wafanyabiashara wa dawa za kulevya nchini kwa kutunga sheria mpya ya dawa hizo ili kukabiliana kikamilifu na kuzuia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOMBAKA MWANAFUNZI NDANI YA BASI WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA...

Wabakaji hao wakitolewa mahakamani baada ya kuhukumiwa adhabu ya kifo, huku baadhi ya wananchi wakishangilia hukumu hiyo.Wanaume wanne jana wamehukumiwa kifo kwa kuhusika na shambulio la ubakaji na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PADRI WA KANISA KATOLIKI ZANZIBAR AMWAGIWA TINDIKALI USONI...

Maeneo ya Mkunazini ambako tukio hilo lilitokea.Matukio ya kushambulia watu kwa tindikali yameendelea kuitikisa Zanzibar, baada ya jana watu wasiojulikana kummwagia tindikali usoni Padri wa Kanisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHAMIAJI HARAMU WAAJIRIWA NAFASI NYETI UWANJA WA NDEGE DAR ES SALAAM...

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam wamedai kuwepo kwa wafanyakazi ambao ni wahamiaji haramu katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASHFA!! MZUNGU AIBA LITA 20,000 ZA PETROLI KILA SIKU BANDARINI DAR...

Sehemu ya bandari ya Dar es Salaam.Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amebaini kuwepo kwa wizi mkubwa wa mafuta aina ya petroli katika bandari ya Dar es Salaam unaofanywa na mzungu anayetajwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PADRI ALIYEMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR AHAMISHIWA MUHIMBILI...

Padri Anselmo Mwang'amba akiwa hospitalini.Siku moja baada ya Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Machuwi, Anselmo Mwang’amba kumwagiwa tindikali katika duka la mawasiliano ya intaneti la Sunshine,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA WA MSICHANA ALIYEBAKWA AFICHUA SIRI YA BINTIYE BAADA YA HUKUMU...

Asha Devi na mumewe, Badri Singh.Mama wa mwathirika wa shambulio la ubakaji Jyoti Singh Pandey amesherehekea huku za kifo zilizotolewa kwa wauaji wanne wa binti yake - akisema 'kwa sasa yuko kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE ALIYEUZA KILA KILICHO CHAKE KUGHARIMIA MSIBA WAKE AFARIKI...

Roxanne Allen.Mwanamke mmoja ambaye aliuza kila kitu chake katika mnada wa hadhara ili kuweza kugharimia mazishi yake, amefariki dunia juzi asubuhi.Roxanne Allen mwenye miaka 51 kutoka Ozark, Missouri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHUNGAJI WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA KANISANI DAR...

Msako wa wahamiaji haramu kupitia Operesheni Kimbunga inayoendelea nchini, umejikita kanisani kutokana na wahamiaji haramu sita wa Nigeria, kubainika wakijishughulisha na kazi za kichungaji.Akizungumza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATMA YA DHAMANA YA SHEKHE PONDA KUJULIKANA LEO...

Shekhe Ponda Issa Ponda (kulia) akiongozwa kuingia mahakamani.Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro, leo  inatarajiwa kuamua iwapo Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shekhe Ponda Issa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALAA!! WAKAMATWA WAKIWA NA LITA 29 ZA TINDIKALI ZANZIBAR...

Kamishna Mkuu, Mussa Ali Mussa.Siku chache baada ya Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Machui, Anselmo Mwang'amba kumwagiwa tindikali Zanzibar, Polisi  visiwani hapa imekamata  lita 29 za tindikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAPANGA KUJIVUA UANACHAMA CWT, KUANZISHA CHAMA KINGINE...

Makao Makuu ya Chama cha Walimu Tanzania.Walimu wa shule za msingi wilayani Ukerewe, wanajiandaa kuanzisha chama kingine, ili wajitoe uanachama wao katika Chama cha Walimu Tanzania (CWT).Kiongozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUHIFADHI WAHAMIAJI HARAMU...

Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam.Mchungaji wa Kanisa la Life Change Chapel lililopo Sinza, Blessing Dangana (36) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka...

View Article
Browsing all 4580 articles
Browse latest View live