$ 0 0 Beki wa timu ya soka ya Red Bull Salzburg, Martin Hinteregger akimtungua kipa wa Schalke 04 kutoka umbali wa mita70 katika mechi ya maandalizi ya msimu mpya nchini Ujerumani.