Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4580

LEO WAISLAMU WAANZA MFUNGO MTUKUFU WA RAMADHANI...

Leo Waislamu wa Tanzania wanaungana na wenzao duniani kote kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Hii inafuatia kuonekana kwa mwezi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania, taarifa ambazo zimethibitishwa na kiongozi mmoja wa Bakwata.
Mwezi wa Ramadhani ni nguzo ya nne kati ya nguzo tano za Uislamu. Nguzo nyingine ni kutamka shahada mbili, kusimamisha sala tano, kutoa zaka na kwenda kuhiji Maka kwa wenye uwezo.
Mhariri na timu nzima ya ziro99blog tunawatakia Waislamu wote mfungo mwema.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4580

Trending Articles