MBATIA ATAKA WAZIRI KAWAMBWA AKAMATWE NA KUSHITAKIWA...
James Mbatia.Baada ya Serikali kutoa kauli kuhusu mtihani wa Taifa wa kidato cha nne mwaka jana, Mbunge James Mbatia (NCCR-Mageuzi), ametaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa,...
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Jamaa mmoja katika kujifagilia kwa demu akajitambulisha kuwa anasomea kozi ya HOTEL MANAGEMENT. Baada ya siku kadhaa yule binti akamkuta jamaa akiosha vyombo kwa mama ntilie mmoja uswahilini na...
View ArticleMATOKEO KIDATO CHA NNE 2012 YAANZA KUPITIWA UPYA...
Wanafunzi wakifanya mtihani wa Kidato cha Nne mwaka jana.Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limeanza kazi ya kupanga upya daraja la ufaulu kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliomaliza mwaka jana na...
View ArticleMZAHA WA LEO...
*********************************Dobi naye anapiga pasi vizuri, lakini hawezi kupata namba timu ya Barcelona!*********************************
View ArticlePRECISIONAIR YAWAHAKIKISHIA ABIRIA SAFARI ZA ZANZIBAR...
Moja ya ndege za Precisionair.Uongozi wa Shirika la Ndege la Precisionair (PW), umewahakikishia wateja wake kuwa inaendelea na safari zake visiwani Zanzibar kama kawaida.Akizungumza na mwandishi juzi,...
View ArticleMBAKAJI WATOTO SHINYANGA APANDISHWA KIZIMBANI...
Mtuhumiwa wa kesi ya ubakaji wa watoto, Jacob Mayani (28), juzi alifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga kusomewa mashitaka mawili ya kutenda vitendo vyenye nia ya kusababisha madhara,...
View ArticleWAASI RDC WAONYWA WAKITIA MGUU TANZANIA WATAKIONA CHAMOTO...
Baadhi ya askari wa kundi la waasi la M23 wakirandaranda nchini DRC.Waasi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wanaojiita M23 wameonywa wasithubutu kuingia nchini kishari kwani wakifanya hivyo cha...
View ArticleMASTAA JANA NA LEO...
Msanii maarufu The Game alivyokuwa utotoni (kushoto) na jinsi anavyoonekana sasa baada ya kuwa staa (kulia).
View ArticleBAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MWAKA 2013/2014...
HOTUBA YA WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LAKUJENGA TAIFA MHESHIMIWA SHAMSI VUAINAHODHA (MB.) AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2013/2014UTANGULIZI1. Mheshimiwa...
View ArticleHATMA YA WAGOMBEA UDIWANI ARUSHA MJINI KUJULIKANA JUMATANO...
Mandhari ya mji wa Arusha.Hatima ya wagombea wa udiwani Jimbo la Arusha Mjini, inatarajiwa kujulikana Mei 8 mwaka huu, baada ya Kamati ya Siasa ya Mkoa kutoa majina ya wagombea katika kata hizo...
View ArticleBOMU KANISANI LAUA WATATU, LAJERUHI ZAIDI YA WAUMINI 70 ARUSHA...
Baadhi ya majeruhi wa bomu hilo wakipatiwa huduma eneo la tukio jana.Watu karibu 70 wamejeruhiwa na watatu kufa, wakati kitu kinachodhaniwa kuwa bomu la kutupa kwa mkono, kiliporushwa kanisani na mtu...
View ArticleMZAHA WA LEO...
***********************************Hata uwe na wivu kiasi gani, huwezi kumwonea wivu marehemu kwa kutangulia kufa!***********************************
View ArticleMASTAA JANA NA LEO...
Msanii maarufu nchini Marekani, TYRA BANKS alivyokuwa enzi za utoto wake (kushoto) na muonekano wake wa sasa (kulia).
View ArticleCHEKA TARATIBU...
Babu mmoja aliingia kwenye mgahawa na kuagiza uji. Wakati akianza tu kunywa, akaingia Mzungu na kuagiza soda aina ya Fanta. Baada ya kuamaliza kunywa ile soda yule Mzungu akasema: "Fantastic". Baada ya...
View ArticleINJINI YA NDEGE YALIPUKA NA KUWAKA MOTO IKIWA NA ABIRIA 162 ANGANI...
Injini ya ndege hiyo ikiwaka moto kama ilivyonaswa pichani.Abiria walijawa na hofu kubwa ya maisha yao baada ya injini ya ndege kulipuka moto ikiwa maelfu ya futi juu ya usawa wa bahari.Dakika kadhaa...
View ArticleMAHAKAMA YA RUFANI YAMREJESHEA UBUNGE HILARY AESHI...
Mheshimiwa Hilary Aeshi.Mahakama ya Rufaa, imemrudisha bungeni na kumtangaza Hilary Aeshi kuwa mbunge halali wa Sumbawanga Mjini, baada ya kutengua hukumu ya Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga...
View ArticleNAFASI ZA UONGOZI CHADEMA SASA KUTANGAZWA MAGAZETINI...
Dk Willibrod Slaa.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kuanzia sasa kitatumia utaratibu mpya wa kuwapata wagombea wa uongozi ndani ya chama hicho, ambapo watatangaza nafasi katika...
View Article