Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4550 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE YA ABIRIA YANUSURIKA KUGONGA KITU KINACHOELEA ANGANI...

Ndege ya abiria ilifikia hadi ukaribu wa ndani ya futi 300 za kugongana na kitu ambacho hakikutambulika kilichokuwa kikielea angani, wachunguzi rasmi wameelezwa.Licha ya uchunguzi, Bodi ya Airprox...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATANGAZA KUPUNGUZA KODI KATIKA MISHAHARA...

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akishikana mikono na viongozi wengine kuimba wimbo wa Mshikamano Daima wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Mbeya jana.Wengine...

View Article


MZAHA WA LEO...

******************************Ugali hata uwe na moto kiasi gani, lakini hauwezi kuwashia sigara!******************************

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASTAA JANA NA LEO...

Mwanamuziki maarufu duniani, Justin Bieber alivyokuwa utotoni (kushoto) na muonekano wake wa sasa (kulia).

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAPA CHRIS KELLY WA KUNDI LA KRISS KROSS AFARIKI DUNIA

Chris Kelly, mmoja wa wasanii wawili wa kundi la Kriss Kross lililotamba katika miaka ya 1990 ambao walidumu kwa miaka 10 ya nyimbo za kukumbukwa kikiwamo kibao cha "Jump", amefariki dunia mapema leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUKUMU YA SHEKHE PONDA SASA KUTOLEWA ALHAMISI IJAYO...

Shekhe Ponda Issa Ponda.Kesi ya uchochezi na wizi wa mali zenye thamani ya Sh milioni 59, inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekhe Issa Ponda na wafuasi wake 49, jana ilitajwa  kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Jamaa kaenda kutoa posa kwa binti fulani. Wazazi wakamkatalia kwa sababu binti yao bado yupo shuleni anasoma. Jamaa baada ya kufikiri kwa muda akajibu: "Haina shida wazee, basi nitakuja wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZAHA WA LEO...

**************************************Hata uwe Mkurugenzi wa Bandari, huwezi kurudi  kwako na meli!**************************************

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE BINAFSI ZATAKIWA KUREKEBISHA ADA ZAO...

Moja ya shule binafsi nchini, Mairiva Secondary School iliyoko mkoani Arisha.Shule zinazoendeshwa na kumilikiwa na taasisi na watu binafsi, zimetakiwa kurekebisha ada zao ili Serikali iangalie...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE ZA PRECISION AIR ZAPIGWA 'STOP' KURUKA AU KUTUA ZANZIBAR...

Moja ya ndege za Precision Air ikiwa angani katika moja ya safari zake.Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB), imetoa amri ya kuzuia kutua na kuruka kwa ndege za kampuni ya Precision Air Service Co. Ltd,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASTAA JANA NA LEO...

Mwimbaji maarufu nchini Marekani, Kelly Rowland alivyokuwa enzi wa utoto wake (kushoto) na alivyo sasa (kulia).

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAPANGA KUANZISHA MAHAKAMA ZA KESI NDOGO...

Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe.Serikali ina mpango wa kuanzisha mahakama ndogo zitakazoshughulikia kesi ndogo pekee kama vile matatizo ya Wamachinga na wizi mdogo, ili kutoa fursa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA TARATIBU...

Panya alikuwa kapiga magoti anasali kanisani. Mara alipotazama pembeni akamwona paka amekaa. Panya akasema kwa woga: "Hapa tuko kanisani bwana, habari zako za kukimbizana na kulana hazitakiwi hapa!"...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MAJINA YA WAKURUGENZI WAPYA WA MIJI NA MAJIJI...

Hawa Ghasia.Majiji manne nchini yamepata wakurugenzi wapya baada ya Rais Jakaya Kikwete kufanya mabadiliko ya uongozi kwenye halmashauri za Arusha, Mwanza, Dar  es Salaam na Mbeya.Katika mabadiliko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZAHA WA LEO...

**************************************Hata kama itasomwa kwa ufasaha na kuvutia kiasi gani, historia ya marehemu haipigiwi makofi!!**************************************

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2012 YAFUTWA RASMI...

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kigurunyembe, mkoani Morogoro wakifanya Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka jana.Wahitimu wa kidato cha nne mwaka jana huenda wakajikuta katika hali tofauti za ama furaha au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASTAA JANA NA LEO...

Kweli siku hazigandi. Huyu ndiye msanii Amber Rose unajemfahamu akiwa katika picha yake ya utotoni (kushoto) na alivyo sasa (kulia).

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA KAMILI YA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA MWAKA 2013/2014....

HOTUBA YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, MHESHIMIWA MATHIAS M. CHIKAWE (MB.),AKIWASILISHA BUNGENI MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2013/2014Mathias Chikawe.UTANGULIZIMheshimiwa...

View Article
Browsing all 4550 articles
Browse latest View live