Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4503

CHEKA TARATIBU...

$
0
0
Babu mmoja aliingia kwenye mgahawa na kuagiza uji. Wakati akianza tu kunywa, akaingia Mzungu na kuagiza soda aina ya Fanta. Baada ya kuamaliza kunywa ile soda yule Mzungu akasema: "Fantastic". Baada ya Mzungu kuondoka, babu naye alipomaliza uji wake naye akainuka na kusema: "Ujistic!" Balaa...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4503

Trending Articles