Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4576 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAELEMEWA NA MZIGO WA KAZI...

Makao Makuu ya Tanesco yaliyoko Ubungo, Dar es Salaam.Shirika la Umeme (Tanesco) limetajwa kuzidiwa na mzigo wa kazi, kutokana na kuzalisha, kusambaza umeme na kukusanya mapato peke yake. Naibu Waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GODBLESS LEMA ASHITAKIWA KWA UCHOCHEZI...

Godbless Lema.Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini hapa, akituhumiwa kuchochea kutenda kosa na kusababisha uvunjifu wa amani.Lema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAJETI WIZARA YA MAJI YAPIGWA JEKI SHILINGI BILIONI 185...

Waziri wa Fedha, William Mgimwa.Baada ya wabunge kugomea bajeti ya Wizara ya Maji kutokana na ufinyu wake, Serikali imekubali kuiongeza Sh bilioni 184.5.Kutokana na nyongeza hiyo kwa ajili ya sekta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UDINI WAVURUGA MCHAKATO WA KATIBA MPYA...

Jaji Joseph Warioba.Udini na siasa za uanaharakati vinaonekana kuanza kutafuna na kuathiri utamaduni wa Watanzania na mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya. Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABU WA KIKOMBE CHA LOLIONDO AIBUKIA NMB MOBILE...

Ofisa wa NMB tawi la Loliondo, Lembris Lesion, akimwelekeza juzi Mchungaji mstaafu Ambilikile Mwasapile jinsi ya kujiunga na NMB Mobile ili ‘kujisevia’ huduma zitolewazo kwa wateja wa NMB waliojisajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFARIKI WAKATI AKITAKA KUWEKA REKODI YA DUNIA YA GUINNESS...

Roy akijaribu kujinasua kwa mikono baada ya kuwa amenasa nywele zake.Mchezaji michezo ya hatari amefariki dunia katika harakati zake za kuweka rekodi ya dunia wakati akijaribu kuvuka juu ya mto mmoja...

View Article

MZAHA WA LEO...

******************************Ukiona kwenye familia yenu unakazaniwa sana kusoma ujue kwenye urithi haumo!****************************** 

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA ALIYEGONGA NA KUUA TRAFIKI MSAFARA WA RAIS YAAHIRISHWA...

KUSHOTO: Wasamaria wakifunika mwili wa trafiki huyo eneo la tukio. KULIA: Mtuhumiwa Jackson Simbo.Kesi inayomkabili dereva, Jackson Simbo anayetuhumiwa kumgonga na kumuua askari wa Usalama Barabarani,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASTAA JANA NA LEO...

Msanii wa Marekani, Ludacris alivyokuwa utotoni (kushoto) na muonekano wake wa sasa (kulia). Hakika siku hazigandi!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII MWAKA 2013/2014...

HOTUBA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALIIMHESHIMIWA BALOZI KHAMIS SUEDI KAGASHEKI (MB),AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NAMATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2013/2014Waziri wa Maliasili na Utalii,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDDI SIMBA SASA ASHITAKIWA KWA KUHUJUMU UCHUMI...

Iddi Simba.Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Iddi Simba aliyekuwa akikabiliwa na mashitaka ya kusababisha hasara katika shirika hilo, amefutiwa mashitaka hayo na kusomewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMBE AOTESHWA KUGOMBEA URAIS UCHAGUZI MKUU 2015...

Bernard Membe.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema atakuwa tayari kuwania urais mwaka 2015, iwapo wananchi wataona anafaa na kumtaka afanye hivyo.Alisema hayo juzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ADAIWA KUNAJISI WATOTO KISHA KUWATOBOA MACHO...

Evarist Mangala.Mtuhumiwa sugu wa matukio ya unajisi na vitendo vya kikatili dhidi ya watoto, anashikiliwa Polisi mkoani Shinyanga, baada ya kukurupushwa katika jaribio la kutaka kumnajisi na kumtoboa...

View Article


MZEE ALFRED TANDAU AFARIKI DUNIA, JK ATUMA RAMBIRAMBI...

Rais Jakaya Kikwete ameelezea kushtushwa na taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwekahazina wa  Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Alfred Tandau.Mzee Tandau, ambaye ni kiongozi wa miaka mingi wa wafanyakazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI WW ZA KITALII KUFUTWA HIFADHI YA RUAHA...

Mandhari ya Hifadhi ya Ruaha.Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) limepewa miezi sita, liwe limefuta kampuni 11 zilizopewa maeneo ya kujenga ndani ya hifadhi ya Ruaha tangu Juni mwaka 2009 na kushindwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABU ACHOMWA VISU NA KUFA AKITOKA SALA YA JIONI MSIKITINI...

KUSHOTO: Sehemu yalipotokea mauaji hayo. KULIA: Muhammed Saleem Chaudhry.Babu amechomwa visu na kufa hatua chache kutoka mlango wa nyumba yake wakati akirejea nyumbani hapo kutoka kwenye sala ya jioni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WATWANGANA MAKONDE NDANI BUNGENI...

Bunge la Venezuela.Makonde yameibuka bungeni na baadhi ya wabunge kujeruhiwa katika sintofahamu, kutokana na mjadala kuhusu uchaguzi wa hivi karibuni unaobishaniwa.Upande wa upinzani ulisema juzi...

View Article
Browsing all 4576 articles
Browse latest View live