Quantcast
Channel: ziro99blog
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4630

BABU WA KIKOMBE CHA LOLIONDO AIBUKIA NMB MOBILE...

$
0
0
Ofisa wa NMB tawi la Loliondo, Lembris Lesion, akimwelekeza juzi Mchungaji mstaafu Ambilikile Mwasapile jinsi ya kujiunga na NMB Mobile ili ‘kujisevia’ huduma zitolewazo kwa wateja wa NMB waliojisajili kwa kutumia NMB Mobile. (Picha kwa hisani ya NMB).


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4630

Trending Articles