DON’T BE FOOLED: ARSENAL ARE STILL MEDIOCRE
Arsenal will be pleased with their 3-0 victory over West Ham. There will no doubt be photographs on their Twitter accounts, in their pants, half dressed, and some in ludicrous full outfits, and there...
View ArticleDID CHINA ‘PUT AFRICA BACK ON THE MAP’?
China’s perceived role in Africa, the real risks it faces doing business there, and some ways Africa benefits were the subject of an interview by Turkish Weekly’s Yağmur Erşan.The reporter interviewed...
View ArticleSOUTHAMPTON HOLD WASTEFUL CHELSEA TO DRAW AT STAMFORD BRIDGE
Chelsea were unable to fully capitalise on Manchester City’s defeat to Burnley as they could only draw 1-1 at home with Southamptonin the Premier League.Diego Costa gave the home side the lead in the...
View ArticleWAYNE ROONEY ON TARGET AS MANCHESTER UNITED FLOOR TOTTENHAM
Manchester United moved to within two points of neighbours City with a 3-0 win over Tottenham Hotspur at Old Trafford.Wayne Rooney produced the perfect response to the morning’s tabloid stories,...
View ArticleYANGA YANUSA RAUNDI YA PILI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
Sahau kuhusu matokeo ya watani wa jadi Jumapili iliyopita ambayo Yanga ilifungwa bao 1-0 na Simba. Yanga imezinduka, na imejibu mapigo kwa ushindi mnono katika michuano ya kimataifa.Wiki moja baada ya...
View ArticleMKATABA UKARABATI UWANJA WA NDEGE KIA WASAINIWA
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa ukarabati wa Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) na majengo ya uwanja huo na kampuni ya ujenzi ya kimataifa ya Uholanzi, iliyoshinda tenda ya...
View ArticleWALIOPEWA URAIA RUKSA KUWANIA UBUNGE, UDIWANI
Wakimbizi 115,138 wanaoishi katika makazi ya Mishamo na Katumba mkoani Katavi, waliopewa uraia wa Tanzania, wana haki zote kama Watanzania wa kuzaliwa ya kuwapigia kura madiwani , wabunge na rais...
View ArticleMAHAKAMA KUU YATUPA OMBI DHIDI YA KAMPUNI YA VIP
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la kuitaka kampuni ya uwekezaji ya VIP Engineering and Marketing, kutoa majibu ya ziada kwa maswali ya awali katika kesi ya Sh bilioni 787...
View ArticleWAZIRI AOKOA MAISHA YA MJAMZITO PORINI RUFIJI
Mbunge wa Rufiji ambaye pia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid, juzi alichangia kuyaokoa maisha ya Amina Bakari (20), mjamzito aliyesota porini kwa saa sita akisubiri usafiri wa...
View ArticleAPAMBANA NA MAMBA KWA ZAIDI YA NUSU SAA MKOANI RUKWA
Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Udasi mwambao mwa Ziwa Tanganyika, kata ya Kabwe wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Ismail Ndomboya (42) amenusurika kuuawa na mamba kwa kupambana kijasiri na mnyama...
View ArticleHATIMAYE ZITTO ALITEMA JIMBO LAKE, AJIPANGA KWA MAJUKUMU MAZITO
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amewaaga rasmi wananchi wa jimbo hilo huku akiwataka wananchi hao kutosononeka kwa uamuzi wake wa kutoendelea kugombea ubunge wa jimbo hilo, bali wamwombee na...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATATU
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumatatu Machi 16, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleHOW A NIGERIAN WOMAN BUILT A SUCCESSFUL FASHION HOUSE ONLINE
When Honey Ogundeyi founded Fashpa her mind was set out to create Nigeria’s leading online fashion retailer–and she did just that. Ogundeyi knew exactly what she was doing. After working for a decade...
View ArticleMWINGEREZA ANAYEDAIWA KUUA MKE AREJESHWA KWAO
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamuru raia kutoka nchini Marekani, Sammy Almahri aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kumuua mke wake, ametakiwa kupelekwa nchini Uingereza na kushitakiwa katika...
View ArticleUJENZI MAABARA YA EBOLA KUKAMILIKA MWEZI HUU
Tanzania inazidi kupiga hatua katika sekta ya afya, na sasa inatarajia kuachana na usafirishaji wa sampuli za magonjwa ya uambukizi mkali yenye virusi visababishavyo damu kutoka mwilini, ikiwemo ebola...
View ArticleBENKI YA WALIMU KUANZA KUUZA HISA MACHI 23
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinakusudia kuanzisha benki yake kwa kishindo, hivyo kuwataka walimu na wananchi kujitokeza kununua hisa za benki ya walimu.Uuzaji wa hisa hizo unatarajiwa kufanyika...
View ArticleMAJANGA TENA UDSM, MOTO WATEKETEZA BWENI LA WANAWAKE
Moto mkubwa uliozuka na kuteketeza sehemu ya bweni la wanawake katika Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zilizopo Mabibo jijini Dar es Salaam, uliibua taharuki kwa wanachuo na wananchi...
View ArticleAMCHINJA MPWA WAKE, NAYE AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO MBEYA
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakazi wa Mtaa za Nsalaga jijini Mbeya, asubuhi wameshuhudia matukio ya mauaji ya watu wawili ndugu, moja likiwa ni mtu aliyemchinja na kumtenganisha kichwa na...
View Article12 SUB-SAHARAN AFRICAN COUNTRIES WITH MOST WOMEN IN PARLIAMENT
Women are notoriously under-represented in government, occupying just 21.9 percent of all elected parliamentary seats worldwide. In the U.S., that number is even lower, at just 18 percent. The...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMANNE
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumanne Machi 17, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View Article