YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO ALHAMISI
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Alhamisi Machi 12, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleMAJINA YA ABIRIA WOTE AJALI YA BASI LILILOUA 42 MAFINGA HAYA HAPA
"Ni ajali ambayo haijawahi kutokea katika maeneo haya," ni baadhi ya maneno yaliyosikika kutoka kwa wakazi wengi wa mjini Mafinga na vitongoji vyake, ambao jana walishuhudia ajali katika historia ya...
View ArticleMADEREVA KUPELEKWA MAFUNZO YA MIEZI 6 KUZUIA AJALI
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia, amesema katika kudhibiti ajali za mara kwa mara nchini, Serikali inatakiwa kuchukua hatua za haraka na kuwapeleka madereva wote wa abiria katika...
View ArticleWAGANGA 55 MWANZA WAKAMATWA KWA RAMLI CHONGANISHI
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia waganga wa kienyeji 55 wanaopiga ramli chonganishi na kusababisha madhara makubwa yakiwemo ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi pamoja na...
View ArticleWASICHANA WADOGO WANAOBEBA MIMBA WAONGEZEKA
Msichana mmoja kati ya wanne wenye umri wa miaka 15 hadi 19 ni mjamzito au ana mtoto, imeelezwa.Idadi hii inawakilisha maisha halisi na kuonesha kwamba kama jitihada za makusudi hazitachukuliwa...
View ArticleTUME YASUBIRI BARUA YA SPIKA KUHUSU ZITTO
Tume ya Uchaguzi imesema hata ikipokea barua kutoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe haina uwezo wa kuchukua hatua yoyote mpaka...
View ArticleWATANZANIA 99 WAFICHA BILIONI 200 USWISI
Kushamiri kwa fedha haramu nchini kunakofanywa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu ndani na nje ya nchi, kumeisababishia taifa hasara ya bilioni 590/- (dola milioni 328) kila mwaka, imeelezwa.Hayo...
View ArticleWALIOKUFA AJALI YA BASI MAFINGA SASA WAFIKIA 50
Miiliya watu wanane tu kati ya watu 50 walikufa katika ajali ya juzi, iliyohusisha basi na lori katika eneo la Changarawe, Mafinga mkoani Iringa, ndiyo iliyotambuliwa mpaka mchana.Idadi ya marehemu wa...
View Article15 THINGS TO DO IN STONE TOWN, ZANZIBAR
The oldest part of Zanzibar is the medieval city of Stone Town. It is small in area but big in personality, with striking architecture, winding alleyways, mouthwatering cuisine, fragrant spices, and...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO IJUMAA
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Ijumaa Machi 13, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleBEAUTY INGREDIENTS FROM AFRICA THAT YOU DIDN’T KNOW YOU USE
Some of the most popular products on the market that lighten us, tighten us, lift saggy parts and protect us from the elements are made with ingredients from African plants and trees. Beauty and...
View Article10 CELEBRITIES WHO WERE IN A COMA AND SURVIVED
Next time you’re enjoying one of these celebrities on the big screen, or watching them bare it all on reality TV, or hearing them wailing through your iTunes, you might appreciate them a little more...
View ArticleHATIMA YA CHENGE NA WENZAKE MIKONONI MWA RAIS
Hatima ya tuhuma za Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge na wenzake kuhusu fedha walizopata kutoka iliyokuwa akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu (BoT), itapelekwa kwa Rais Jakaya...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya leo Jumamosi Machi 14, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleALIYEJIFANYA KATIBU WA IKULU ATIWA MBARONI DAR
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linamshikilia mkazi wa Mbagala Rangi Tatu, Haroub Mtopa (44) kwa kujifanya mtumishi wa umma kupitia cheo cha Katibu wa Rais, Jakaya Kikwete, Prosper...
View ArticleMTOTO ALBINO ANUSURIKA KUUAWA NA WAWINDAJI MPIRANI
Mtoto wa umri wa miaka sita, mwenye ulemavu wa ngozi (albino), anayeishi Kijiji cha Ndoleleji, amekoswakoswa na watu waliokuwa wakimvizia akiwa katika michezo, baada ya watoto wenzake kuchukua uamuzi...
View ArticleMSIBA MZITO WAIKUMBA UDSM, WANAFUNZI WATANO KWA MPIGO WAFARIKI AJALINI
Wanafunzi watano wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni miongoni mwa watu 50 waliokufa katika ajali ya basi la Majinja, lililogongana na lori katika eneo la Changarawe Mafinga mkoani Iringa.Makamu...
View ArticleLOWASSA AMFAGILIA KINANA, ASEMA HAJAWAHI KUTOKEA
Aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakijawahi kupata Katibu Mkuu hodari na mchapakazi wa mfano wa Abdulrahman Kinana, tangu kuanzishwa...
View ArticleBASI LA OSAKA LAGONGA LORI LIKIWA NA ABIRIA 57 DODOMA
Abiria 57 wa basi la Osaka lililokuwa linatoka Bukoba kwenda Dar es Salaam wamenusurika kifo baada ya basi hilo kugonga tela la lori lililokuwa limeegeshwa kutokana na kuwa bovu na kutumbukia...
View ArticlePAPA FRANCIS AJITABIRIA MWISHO WAKE VATICAN
Akiwa katika maadhimisho ya kuanza mwaka wa pili wa utume wake katika kuongoza Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis, ametoa kauli kuashiria kuwa huenda asidumu katika wadhifa huo kwa muda...
View Article