9 THINGS YOU SHOULD NEVER SAY TO MEN
Words can ruin any relationship in a matter of minutes. You might have been together for years, but once you say one of the things women should never say to men, you may end up with heartbreak. Women...
View Article7 EXERCISES THAT WILL TRANSFORM YOUR BODY
Looking for some effective ways to transform your body? There are a few great exercises that will help you to reach your fitness goal. These exercises are easy but effective in strengthening your body...
View Article8 EFFECTIVE WAYS TO COPE WITH YOUR CHILD’S BAD TEMPER
If you’re not emotionally strong, you may not be ready to deal with your child’s tricks, caprices and hysterics. Children are angels, but sometimes they lose control of their emotions. It often happens...
View ArticleMABEHEWA MAPYA TRL KUANZA KAZI APRILI MOSI
Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) imesema mabehewa 15 kati ya 22 ya abiria yaliyonunuliwa na serikali kutoka Korea Kusini yataanza kutoa huduma kwenda Kigoma kupitia stesheni 17 kuanzia Aprili mosi mwaka...
View ArticleZITTO KABWE KUAGA RASMI BUNGENI
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) jana aliteta faragha na Spika wa Bunge, Anne Makinda kushauriana naye kama ajiondoe kwenye ubunge baada ya chama chake kutangaza kumvua...
View ArticleMSONGAMANO WA MAHABUSU WATISHIA AMANI MAGEREZA DAR
Magereza ya jiji la Dar es Salaam yana msongamano mkubwa wa mahabusu na wafungwa, ikilinganishwa na uwezo wake halisi, imeelezwa.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa...
View ArticleWANAZUONI WA KIISLAMU WAWAJIBU MAASKOFU
Taasisi ya Mashehe na Wanazuoni wa Kiislamu, imewataka maaskofu nchini wawe wavumilivu, kwani Serikali ni ya watanzania wote.Aidha, imewasisitiza watanzania kwa ujumla, kupata elimu ya Katiba...
View ArticleWENYE MABASI WACHARUKA KUSHUSHWA NAULI, WATISHIA KULIPISHA ASKARI
Wakati wadau wa usafiri nchini wakipendekeza kushuka kwa nauli za daladala na mabasi yaendayo mikoani, wamiliki wa mabasi wametishia kufuta utaratibu wa kutowatoza nauli askari na kuongeza kuwa, hata...
View ArticleINVESTING IN WOMEN: WHAT DO AFRICAN FEMALE ENTREPRENEURS NEED?
Private equity financing is not easy to come by, even in a market as hot as Africa. The competition for funding is fierce, and the way the numbers play out is part of the bottom line. Businesses need...
View ArticleCARLO ANCELOTTI THE FAVOURITE TO TAKE OVER AT MANCHESTER CITY
The odds on Manuel Pellegrini leaving Manchester City by the start of next season have been cut according to bookmakers William Hill. Offered at 4/7 after City were knocked out of the Champions League...
View ArticleMATONYA ATUPWA JELA MIAKA 30 KWA KUBAKA
Mfanyakazi wa ndani, Joseph Matonya (26) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na viboko 12 baada ya kupatikana na hatia ya kubaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Mwanagati...
View ArticleUPELELEZI DHIDI YA KIONGOZI WA UAMSHO BADO KUKAMILIKA
Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi bado wanasota rumande kwa kwa kuwa upelelezi wa kesi...
View ArticleHUKUMU YA MBUNGE WA BAHI APRILI 29
Hukumu ya kesi ya kuomba na kupokea rushwa inayomkabili Mbunge wa Bahi (CCM), Omary Badwel inatarajia kutolewa Aprili 29, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Hakimu Mkazi, Hellen Riwa...
View ArticleSERIKALI YAFUNGULIWA KESI 1,179 KWA MIAKA MINNE
Serikali imefunguliwa kesi 1,179 na wananchi , mashirika na taasisi mbalimbali, Bunge lilielezwa. Kesi hizo ni kati ya kesi 1,192 zilizofunguliwa mahakamani kuanzia mwaka 2010 hadi 2014. Kati ya kesi...
View ArticleBASI LAPINDUKA HIFADHI YA MIKUMI NA KUUA
Watu saba ambao wote ni wanaume wamekufa papo hapo na wengine 17 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda mjini Ifakara, wilayani Kilombero mkoani Morogoro kupinduka...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA JUMAMOSI MACHI 28
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya Jumamosi Machi 28, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO ALHAMISI
Kama kawaida tunakuletea muonekano wa habari zilizomo kwenye magazeti ya Alhamisi Aprili 2, 2015. Kusoma vichwa vya habari kwenye kurasa za mbele na nyuma za magazeti hayo bofya kwenye picha hapo...
View ArticleMWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA AACHIWA KWA DHAMANA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma Mjini jana ilimwachia kwa dhamana Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja (34), huku taarifa kutoka mikoa mbalimbali zikisema wafanyabiashara nao...
View ArticleBEI ZA VYAKULA ZAPAA KARIAKOO KUELEKEA PASAKA
Bei za mazao katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za Pasaka katika soko la Kariakoo zimeongezeka kutokana na imani iliyojengeka kwa wafanya biashara kuwa uwezo wa manunuzi unakuwa juu.Meneja Mkuu...
View Article