WATAKA MFUKO WA NHIF UGHARIMIE NAULI ZA WAGONJWA
Baadhi ya wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wametaka kuongezwa kwa huduma za malipo ya nauli na posho kwa wanachama wanaokwenda kwenye matibabu ya rufaa nje ya vituo vyao, sambamba na...
View ArticlePINGAMIZI LA MWANASHERIA MKUU DHIDI YA TLS LATUPILIWA MBALI
Pingamizi la Mwanasheria Mkuu (AG) dhidi ya ombi la kibali cha kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mkoani Dodoma limetupiliwa mbali katikaMahakama Kuu Kanda ya Dar...
View ArticleMWANAFUNZI AJIUA KWA KULAZWA HOSPITALINI
Katika hali isiyotarajiwa, mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Ezra Gerald (19), amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka ya...
View ArticleMTUHUMIWA KESI YA UGAIDI ALALAMIKIA POLISI
Mtuhumiwa katika kesi ya ugaidi, Abdallah Maginga, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kumruhusu kutohudhuria siku za kesi na abaki magereza, kutokana na maumivu makali anayodai anayapata sehemu...
View ArticleWAFA KATIKA AJALI WAKITOKA KUZIKA MWENZAO MUSOMA
Watu wawili wamekufa na wengine watano kujeruhiwa baada ya magari mawili, likiwamo basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa...
View ArticleASKARI WA DORIA WASHAMBULIWA KWA BOMU SONGEA
Siku chache baada ya majambazi kuvamia Kituo Kikuu cha Polisi wilayani Bukombe mkoani Geita, kuua askari wawili na kuiba silaha za moto, watu wasiofahamika wamewajeruhi askari watatu waliokuwa doria...
View ArticleMAANDAMANO YA CHADEMA MARUFUKU, VYUO VIKUU 14 VYAYALAANI
Jeshila Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini.Jeshi hilo limeonya kuwa...
View ArticleMABINTI PACHA WALIOUNGANA KUHITIMU KIDATO CHA NNE MAKETE
Hatua ya kwanza ya ndoto ya kuzama katika elimu ya mabinti pacha walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoa mpya wa Njombe, inatarajiwa kutimia...
View ArticleMABORESHO ELIMU YAONGEZA PhD MPYA 79 MLIMANI, CHUO KIKUU HURIA
Wakati Serikali ikipambana kuhakikisha wimbi la wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita nchini, wanapata fursa ya kujiunga na elimu ya juu, wanafunzi 9,649 wenye sifa ya kupata mikopo ili wajiunge na...
View ArticleKATIBA PENDEKEZWA IMEKOSEWA, SASA KUCHAPISHWA UPYA
Uongozi wa Bunge Maalumu la Katiba, umemuagiza Mpigachapa Mkuu wa Serikali, kupiga chapa upya Katiba Inayopendekezwa, baada ya kubaini makosa ya uchapaji, ikiwemo kuandikwa kwa makosa kwa mjumbe wa...
View ArticleBINTI WA MBUNGE WA TEMEKE ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014
Siti, binti wa Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu, usiku wa kuamkia leo ameibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa Tanzania (Redd’s Miss Tanzania 2014) katika shindano lililofanyika...
View ArticleWANAFUNZI WAPEWA MAFUNZO YA MATUMIZI BORA YA FEDHA
Benki ya Barclays tawi la Iringa imetoa mafunzo ya utunzaji wa fedha kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Highlands ya mjini hapa waliokiri matumizi ya pombe yanazifanya baadhi ya familia zao kukosa...
View ArticleMAONESHO YA BIASHARA YA TIBA ASILI YA MWAFRIKA YAJA
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yatakayofanyika kuanzia Novemba 16, mwaka huu kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.Maonesho...
View ArticleKACHERO WA KENYA ATOA USHAHIDI MAHAKAMANI DAR
Mkuu wa Uchunguzi wa Maandishi wa Jeshi la Polisi Kenya, John Kimani ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuwa saini zinazodaiwa kusainiwa na Ramadhani Balenga katika hati ya...
View ArticleWAWEKEZAJI WA GESI NA MAFUTA WAMIMINIKA ZANZIBAR
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema taasisi mbalimbali za kimataifa zinazojishughulisha na masuala ya mafuta na gesi zimeanza kujitokeza kuomba fursa ya kuwekeza katika sekta hiyo.Maombi hayo...
View ArticleOFISI YA TAKWIMU YASAMBAZA MATOKEO YA SENSA
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), jana imezindua rasmi usambazaji wa matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 kimkoa na kuanza na Mkoa wa Pwani.Uzinduzi huo uliambatana na semina kwa watendaji...
View Article