JELA MIAKA 15 KWA KUMCHEZEA MTOTO SEHEMU ZA SIRI
Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Hassan Suleiman (23) mkazi wa Kitunda, kwa kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mtoto wa miaka mitatu kwa kumchezea sehemu zake za...
View ArticleKIKWETE AFANYA ZIARA YA GHAFLA UWANJA WA NDEGE DAR
Rais Jakaya Kikwete, amefanya ziara ya kushtukiza katika maeneo kunakofanyika maandalizi ya kukinga nchi dhidi ya maambukizi ya virusi vinavyosababisha homa hatari ya ebola, ikiwemo katika Uwanja wa...
View ArticleMCHAKATO KATIBA MPYA WASITISHWA, SASA KUREKEBISHWA ILIYOPO
Mchakato wa kuandika Katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao umekwama, baada ya viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge na Rais Jakaya Kikwete, kukubaliana kusitisha mchakato huo.Badala yake...
View ArticleIPTL YAMDAI ZITTO KABWE FIDIA YA SHILINGI BILIONI 500
Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wakimtaka Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe awalipe fidia...
View ArticleTIGO WAANZA KUTOA GAWIO KWA WATEJA WAKE
Katika kuhamasisha utunzaji wa fedha ulio salama hasa kwa wakazi wa vijijini, Kampuni ya simu za mkono ya Tigo imeanza kutoa gawio la faida kwa wateja wake wanaoweka fedha zao katika Tigo-Pesa kama...
View ArticleWABUNGE WAPENDEKEZA WALARUSHWA WANYONGWE
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamesema wala rushwa pamoja na wahujumu uchumi adhabu yao iwe ni kunyongwa. Wametaka Katiba mpya inayoenda kuandikwa itamke hivyo ili kufanya viongozi wa...
View ArticleWANAFUNZI WA KIKE WANUSURIKA KUFA KWA MOTO
Zaidi ya wanafunzi 96 wa kike wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari African Muslim iliyopo mjini Moshi, wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wakilala, kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia...
View ArticleUTULIVU WATAWALA MITIHANI DARASA LA SABA
Wanafunzi wa darasa la saba mkoani hapa wamefanya mitihani yao ya kuhitimu elimu hiyo kwa utulivu na usalama mkubwa kutokana na kuwepo kwa maandalizi ya kutosha.Ofisa Elimu wa Mkoa, Raymond Mapunda...
View ArticleKESI YA TRAFIKI FEKI YAENDELEA KUPIGWA KALENDA
Kesi ya aliyejifanya askari polisi wa usalama barabarani, James Hassan (45) imeendelea kupigwa kalenda kutokana na mshitakiwa kutofika mahakamani hapo licha ya kuwepo kwa mashahidi wawili.Kesi hiyo...
View ArticleMSAKO WA BODABODA ZENYE NAMBA ZA NJANO WAANZA
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imesema usajili wa pikipiki maarufu kama ‘bodaboda’ utafanywa pamoja na kukagua namba zenye rangi ya njano huku zikiwa zinafanya...
View ArticleBOT ILIHUSIKA KUMPATA MZABUNI KUKAGUA DHAHABU, ADAI YONA
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona (73) ameieleza Mahakama kuwa, Benki Kuu (BoT) ilihusika kusimamia mchakato wa kutafuta kampuni ya kukagua uzalishaji wa dhahabu nchini kwa njia ya...
View ArticleMWAKYEMBE AJIVUNIA KUFUFUA TRL, KUPOKEA MABEHEMU 3,345
Moja ya mafanikio ya wazi ya Serikali ya Awamu ya Nne katika usafirishaji, ni kufufuliwa kwa Shirika la Reli Tanzania (TRL), ambalo lilikuwa limekufa na kupoteza uwezo wake wa kiuendeshaji.Akizungumza...
View ArticleABAKWA, ANYONGWA KISHA MWILI WAKE KUTUPWA
Mkazi wa Kijiji cha Bupu wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Forodesi Ntabegera (30) ameuawa kwa kubakwa, kisha kunyongwa na watu wasiojulikana, kisha mwili wake kutupwa kichakani.Kaimu Kamanda wa Polisi...
View ArticleDAWA ZA KUONGEZA UCHUNGU NI HATARI KWA WAJAWAZITO
Matumizi ya dawa za kienyeji kwa ajili ya kuongeza uchungu na kujifungua mapema, imeelezwa kuchangia zaidi vifo kwa wajawazito.Mganga Mkuu wa Mkoa Kigoma, Dk Leonald Subi alisema hayo mjini Kigoma...
View ArticleRASIMU YA KATIBA MPYA KUPIGIWA KURA SEPTEMBA 21
Wakatikundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) likishinikiza Bunge Maalumu la Katiba lisitishwe haraka iwezekanavyo, Bunge hilo limejiandaa kuwasilisha Katiba inayopendekezwa Septemba 21.Hatua hiyo...
View ArticleHAWA NDIO WATAKAOCHEZESHA MECHI ZA LIGI KUU YA VODACOM
Ikiwa imebaki siku moja kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014-15, mambo tayari yamenoga baada ya kukamilika kwa safu ya waamuzi watakaochezesha mechi za ufunguzi wiki hii.Ofisa...
View ArticleWABUNIFU WA MAJENGO KUKUTANA LEO DAR
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano wa 22 wa wataalamu wa wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi utakaofanyika kwa siku moja...
View ArticleUTALII WACHANGIA SHILINGI TRILIONI 3 KWENYE PATO LA TAIFA
Sekta ya Utalii nchini imekuwa ikichangia pato la Taifa kwa kiasi kikubwa, ambapo kwa mwaka jana ilichangia dola bilioni 1.8 (Sh trilioni 3) katika pato hilo.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii...
View ArticleMBIO ZA MWENGE KUZINDUA MIRADI 72 MKOANI MWANZA
Miradi 72 ya maendeleo ya Sh bil. 23 inatarajiwa kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru, utakaokimbizwa kwa siku nane mkoani hapa, ambao utapokelewa leo kutoka mkoa wa Simiyu.Hayo yalielezwa jana na Mkuu wa...
View Article