WAKIMBIZI 162,156 WA BURUNDI WAPEWA URAIA WA TANZANIA
Rais Jakaya Kikwete ametoa hati za uraia wa Tanzania kwa wakimbizi 162,156 kutoka nchi jirani ya Burundi na ambao wameishi nchini kwa miaka 42, tangu mwaka 1972.Alitoa hati hizo juzi mjini Tabora,...
View ArticleMVUVI AJERUHIWA NA KIBOKO, WAWILI WAPONEA CHUPUCHUPU
Shukurani Kando (34) ambaye ni mvuvi na mkazi kitongoji cha Kalumo kijiji cha Nambubi, Kata ya Kisorya amejeruhiwa kwa kung’atwa na kiboko na wengine wawili kunusurika wakati wakivua katika Ziwa...
View ArticleMKUU WA WILAYA AKAANGWA KWENYE TUME YA MAADILI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, Anna Mwalende ameanika mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma ushahidi wake dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gamba na kueleza...
View ArticleKOMBANI ANUSURU AJIRA ZA DC, DEC MAABARA ZA 'KIKWETE'
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ametoa msaada muhimu wa Sh milioni 40 na bati 300 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya maabara katika shule 12 za...
View ArticlePOLISI YAZUNGUMZIA WIMBI LA UTEKAJI WATOTO DAR
Wakati hofu juu ya usalama wa watoto katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikizidi kutanda miongoni mwa wazazi na walezi, Polisi imekanusha kuwapo kwa matukio ya utekaji nyara watoto...
View ArticleWALIOKUFA LORI LA PETROLI WAFIKIA WATANO, POLISI ALIYEJARIBU KUZUIA AAMBULIA...
Idadi ya watu waliokufa kutokana na ajali ya moto wa lori lililopinduka na kisha kulipuka baada ya watu kulivamia kwa lengo la kujipatia mafuta, imeongezeka na kufikia watano kutoka vitatu vya...
View ArticleMDAU WA BLOGU YA ZIRO99 AAMUA KUCHANA NA UKAPERA...
Ilikuwa furaha, nderemo na vifijo!! Wakiwa na nyuso za furaha Bwana Elijah Eusebio Kitosi na Bi Upendo Deogratius Lufundya mara baada ya kufunga pingu za maisha kwenye Kanisa Katoliki la Maximillian...
View ArticleTBS YAFUNGIA KIWANDA CHA KUZALISHA JUISI ZA U-FRESH
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekifunga kwa muda usiojulikana kiwanda cha U-Fresh Food Limited cha Tegeta Dar es Salaam, kwa kuzalisha juisi ya U-Fresh chini ya kwa kiwango cha ubora...
View ArticleWATOTO 53 WAONDOKA LEO KWENDA INDIA KWA MATIBABU
Watoto 53 wanaougua maradhi mbalimbali ya moyo wanaondoka nchini leo kwenda India kwa upasuaji ambapo wataagwa na Makamu wa Rais, Dk Ghalib Bilal.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mratibu wa...
View ArticleLOWASSA APONGEZA AMANI KISIWANI ZANZIBAR
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewapongeza Wazanzibar na Serikali ya mseto visiwani humo kwa kudumisha amani.Akitoa salamu zake Krismasi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),...
View ArticleWANANDOA WAUAWA KWA KUCHARANGWA MAPANGA MKOANI MARA...
Watu wawili ambao ni wanandoa wameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana na kisha wauaji hao kuchukua baadhi ya viungo vyao katika kitongoji cha Mwabasabi, wilaya ya Bunda, mkoani Mara.Kamanda...
View ArticleHOTUBA KAMILI YA RAIS KIKWETE ALIPOZUNGUMZA NA WAZEE WA DAR ES SALAAM
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM, TAREHE 22 DESEMBA, 2014ShukraniMheshimiwa Makamu wa Rais;Mheshimiwa...
View ArticleKRISMASI YASHEREHEKEWA KWA AMANI DAR
Hali ya usalama katika jiji la Dar es Salaam imeelezwa kuwa shwari katika sikukuu ya Krismasi huku ulinzi ukiimarishwa zaidi kuelekea mwisho wa mwaka.Jiji hilo lenye mikoa mitatu ya Kipolisi ya Ilala,...
View ArticleALIYELAWITI MTOTO WA MIAKA SITA ATUPWA JELA
Mfanyakazi wa nyumbani, Hatibu Adamu (20) amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kike wa miaka sita.Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya...
View ArticleVITONGOJI 11 HAVIKUPIGA KURA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Wakazi wa vitongoji 11 katika vijiji vitatu vya halmashauri ya wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, wameshindwa kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za vitongoji na vijiji, kutokana nna migogoro...
View ArticleBUBU AFANYIWA UNYAMA, ABAKWA NA WATU WATANO
Mkazi wa kitongoji cha Chingale, kijiji cha Mtakuja kata ya Temeke katika Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara ambaye ni bubu, Asumini Fakihi amebakwa na watu watano wasiojulikana na...
View ArticlePOLISI ACHOMWA MKUKI UBAVUNI MKOANI MARA
Polisi wa kituo cha Kinesi wilayani Rorya mkoani Mara, Konstebo Deogratius amejeruhiwa kwa kuchomwa mkuki ubavuni.Alichomwa mkuki wakati akiwa na wenzake walipokuwa wakipambana kujaribu kuwaondoa zaidi...
View ArticleDEREVA WA BODABODA AUAWA NA KUTUNDIKWA KWENYE MTI
Mwendeshapikipiki (bodaboda), mkazi wa Kitongoji cha Buriba katika mji mdogo wa Sirari wilayani Tarime mkoani Mara, Mrimi Nyabikwi (23), amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa umening'inizwa kwenye mti...
View ArticleWATU 21 WANUSURIKA KIFO AJALINI WAKITOKA HARUSINI
Mtummoja amekufa na wengine 21 kujeruhiwa, baada ya basi dogo aina ya Coaster walilokuwa wakisafiria kutoka Shinyanga kwenye harusi, kurejea nyumbani kwao Morogoro kupinduka katika kijiji cha Ikugha...
View Article