VIJANA 1,200 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA UCHIMBAJI MADINI
Vijana 1,200 watafaidika kupata mafunzo ya uchimbaji wa madini na gesi yatakayotolewa nchini kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Wizara ya Mambo ya Nje, Biashara na Maendeleo ya Canada...
View ArticleWAJUMBE BUNGE LA KATIBA WAIVAA TUME YA JAJI WARIOBA
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamewajia juu waliokuwa Wajumbe wa Kamati ya Kukusanya Maoni ya Katiba wakidai kuwa kazi yao ilishaisha, hivyo kuendelea kujadili masuala kuhusu Rasimu ya Katiba si...
View ArticleFEDHA ZA MAPATO YA GESI KUANZA KUINGIA MWAKA 2020
Mapato yatokanayo na uwekezaji katika miradi ya gesi asilia, baada ya wawekezaji kutoa gharama zao za utafiti na uwekezaji, yataanza kupokewa nchini 2020. Rais Jakaya Kikwete alisema hayo juzi...
View ArticleWAZIRI WA ZAMANI SMZ AREJESHWA RUMANDE
Aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) na Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, Mansour Yussuf Himid, amefikishwa mbele ya Mahakama ya Mkoa Vuga, akikabiliwa na makosa matatu na...
View ArticleSURA ZOTE BUNGE MAALUMU KUJADILIWA BILA KUPIGIWA KURA
Mwenyekitiwa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amejibu mapigo ya wanaozungumzia mchakato wa Katiba mpya nje ya Bunge Maalumu.Amesema Bunge hilo lipo kihalali na lina haki ya kujadili na hata...
View ArticleSWALA OIL KUJIORODHESHA DSE KESHOKUTWA
Kampuni ya Swala Oil & Gas inayojihusisha na masuala ya uchimbaji wa mafuta na gesi, itajiorodhesha rasmi katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) keshokutwa. Hatua hiyo inatokana na kukamilika...
View ArticleMANISPAA TEMEKE YATOA MITAJI KWA WENYE VIRUSI 150
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imetoa mitaji ya Sh milioni 50 kwa wananchi 150 waishio na virusi vya Ukimwi baada ya kupatiwa mafunzo ya ujasiriamali na Benki za Maendeleo Vijijini (VICOBA) ili...
View ArticleALIYEMBAKA MTOTO WAKE WA KAMBO ATIWA MBARONI
Watu watano wanashikiliwa na jeshi la Polisi wilayani Muleba mkoani Kagera kwa tuhuma mbili tofauti, akiwamo aliyembaka mtoto wake wa kambo. Kamanda wa Polisi mkoani humo, Henry Mwaibambe alisema tukio...
View ArticleSERIKALI YAONGEZA NGUVU KUKABILIANA NA UGONJWA WA EBOLA
Serikali imeongeza nguvu ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa ebola iwapo utatokea, kwa kuwapima wasafiri na wageni wanaoingia nchini kupitia viwanja vikubwa vitano vya ndege.Vipimo hivyo vitafanywa...
View ArticleTANZANIA KUUNDA JESHI LA KULINDA AMANI AFRIKA
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limeendelea kung’ara kimataifa, ambapo jana jeshi hilo lilitamkwa kuwa miongoni mwa majeshi ya nchi za Afrika, yatakayounda Jeshi la Kulinda Amani Afrika.Taarifa za...
View ArticleMFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO
Ofisa ya Takwimu ya Taifa (NBS) imesema mfumko wa bei wa mwezi Julai, umeongezeka kidogo kutoka asilimia 6.4 ilivyokuwa Juni hadi asilimia 6.5.Hata hivyo, alisema bei za bidhaa za vyakula,...
View ArticleKESI YA 'WATOTO WA MBWA' YAAHIRISHWA
Kesi inayowakabili vijana saba wanaojiita ‘watoto wa mbwa’, imeahirishwa hadi Agosti 15 mwaka huu, kutokana na hakimu anayesikiliza shauri hilo, kutokuwepo mahakamani.Akiahirisha shauri hilo juzi,...
View ArticleDARAJA LA KIGAMBONI KUKAMILIKA JUNI MWAKANI
Ujenzi wa Daraja la Kigamboni katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam umekamilika kwa asilimia 60 na linatarajiwa kuanza kutumika Juni mwakani.Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli alifanya ziara ya...
View ArticleMIKASA YAANZA KUMWANDAMA MCHUNGAJI RWAKATARE
Unaweza kusema ni mikasa imeaanza kumwandama Mchungaji Getrude Rwakatare baada ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi kuvunja nyumba nne zilizojengwa ndani ya kiwanja namba 314 zilichopo eneo la Mbezi...
View ArticleBABA MZAZI ASAKWA KWA KUMPA UJAUZITO BINTI YAKE
Mkazi wa Kijiji cha Bwekela wilayani Igunga mkoani Tabora, Kashinje Shima, anatafutwa na Uongozi wa kijiji hicho, kwa kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa mwenye umri wa miaka 17. Ofisa Mtendaji wa Kijiji...
View ArticleINDONESIA, KENYA KUNUNUA MAHINDI NA MPUNGA NCHINI
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amesema kilio cha wakulima kuhusu ukosefu wa masoko ya mazao kitakuwa ni cha kihistoria muda mfupi ujao baada ya nchi ya Kenya na Indonesia kueleza kusudio...
View Article