KESI DHIDI YA WAUMINI WA MOROVIAN YAAHIRISHWA
Kesi inayowakabili waumini 29 wa Kanisa la Moravian Jimbo la Misheni Mashariki na Zanzibar, lililopo Mwananyamala imeahirishwa hadi Septemba 4, mwaka huu kutokana na baadhi ya washitakiwa kutofika...
View ArticleTANZANIA KINARA WA UDHIBITI UTAKATISHAJI FEDHA HARAMU
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi barani Afrika, ambazo zimeimarisha mifumo yake ya ndani ya kudhibiti utakatishaji wa fedha haramu.Shirika linaloweka viwango vya kimataifa vya uimarishaji...
View ArticleMLEMAVU MBARONI KWA DAWA ZA KULEVYA
Mkazi wa Vijibweni, Said Tindwa (36), mwenye ulemavu wa mguu anashikiliwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya biashara ya kulevya kwa kutumia ulemavu wake wa mguu...
View ArticleHAKIMU AHUKUMIWA FAINI MILIONI 1.5/- KWA RUSHWA YA MILIONI 2/-
Aliyekuwa Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.Mtu huyo amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu, au kulipa faini ya Sh...
View ArticleWAIOMBA MAHAKAMA KUTUPILIA MBALI OMBI LA PONDA
Upande wa Jamhuri katika ombi la Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Shekhe Issa Ponda umeiomba Mahakama kutupilia mbali ombi hilo kwa kuwa halijawasilishwa kisheria.Katika ombi lake, Shekhe...
View ArticleMKATABA KUJENGA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA HISABATI WASAINIWA
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesaini Mkataba wa Ushirikiano (MOU) baina yake na Taasisi ya Masuala ya Sayansi na Hisabati Afrika (AIMS), kwa ajili ya kuanzisha Chuo Kikuu cha masuala ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AAMINI KATIBA MPYA ITAPATIKANA
Wakati Bunge Maalumu la Katiba likitarajiwa kuanza leo, huku mjadala mkali kuhusu mchakato wa Katiba mpya ukiendelea katika makongamano mbali mbali, Rais Jakaya Kikwete amesema ana matumaini baada ya...
View ArticleWABUNGE RAGE, MUNDE TAMBWE WANUSURIKA KIFO AJALINI
Wabunge Wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Tabora kwenda Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge Maalum la Katiba...
View ArticleHIVI NDIVYO TRAFIKI FEKI ALIVYOTIWA MBARONI DAR
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam inamshikilia na kumhoji Robson Mwakyusa (30), mkazi wa Kijitonyama kwa tuhuma za kujifanya Ofisa wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani.Mtuhumiwa huyo alikamatwa...
View ArticleKIKWETE APUUZA MADAI YA KUMWOKOA RIDHIWANI CHINA
Rais Jakaya Kikwete amesema madai kuwa yeye alishiriki kumwokoa mtoto wake, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, baada ya kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi, ni mkusanyiko wa...
View ArticleFA TIGHTENS RULES ON HEAD INJURIES
Players losing consciousness or suffering concussion will not be allowed to play on next season after the Football Association set out strict guidelines on Tuesday regarding head injuries."If there has...
View ArticleVIPODOZI VILIVYOPIGWA MARUFUKU VYAUZWA DAR
Licha ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kupiga marufuku vipodozi vyenye viambata vya sumu, vimeendelea kuuzwa katika masoko yaliyopo jijini hapa huku vingine vikiisha muda wake.Utafiti uliofanywa na...
View ArticleMENEJA KITUO CHA MAFUTA, MWANAFUNZI UDSM KORTINI
Meneja wa kituo cha mafuta cha Gudal Petrol Station cha Ubungo, Kibangu pamoja na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamepandishwa kizimbani kwa mashitaka mawili likiwamo la...
View ArticleKANUNI MPYA ZA KUKOKOTOA MAFAO ZATANGAZWA
Serikali imetangaza kanuni mpya, mbazo zinatoa viwango sawa vya vikokotoa kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii, ambapo sasa watalipwa asilimia 72.5 kutoka asilimia 60-67 kwa baadhi ya mifuko iliyokuwa...
View ArticleMKATABA KUSAIDIA MAENDELEO YA UMEME WASAINIWA
Serikali imesaini makubaliano na Marekani kwa ajili ya kutekeleza mpango wa nchi hiyo kusaidia maendeleo katika Sekta ya Umeme. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo pamoja na Balozi...
View ArticleANAYEDAIWA MFUASI WA AL SHABAAB APELEKWA KWA DCI
Mshitakiwaanayekabiliwa na kesi ya kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi la Al Shabaab, Mussa Mtweve, amepelekwa kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kwa ajili ya mahojiano.Hakimu Mkazi,...
View ArticleMAWAZIRI WA SADC WAKUTANA KUJADILI UGONJWA WA EBOLA
Mawaziri wa Afya na wadau wengine wa afya wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi zilizo Kusini mwa Afrika (SADC), leo wanakutana kwenye mkutano wa dharura kuzungumzia hatua za kudhibiti...
View Article