Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4550 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIN ASEMA Z'BAR INAWATHAMINI WAISHIO UGHAIBUNI

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema inathamini mafanikio makubwa yaliyoanza kupatikana kutoka kwa Wazanzibari wanaoishi nchi za nje (Diaspora) na ndio maana ina mpango maalumu wa kuandaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTENDAJI KORTINI KWA UJANGILI

Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majangili,  akiwemo mtendaji wa Kijiji cha Kikwazo kilichopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kujibu mashitaka mawili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO AFA MAJI KWENYE NDOO

Mtoto wa umri wa mwaka mmoja amekufa baada ya kutumbukia kwenye ndoo ya maji nyumbani kwao, wakati akicheza.Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya, tukio hilo ni la juzi saa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMAPILI - AGOSTI 10

           

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMA YAASA WAKULIMA KUZINGATIA HALI YA HEWA

Wakulima nchini wametakiwa kutumia taarifa za hali ya hewa ili kuwa na uhakika wa kulima mazao mbalimbali ya chakula na biashara na kuepuka kulima kwa mazoea kunakowasababishia kupata hasara wakati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE APANDISHWA KORTINI KWA KUMFANYIA FUJO MUMEWE

Mkazi wa eneo la Majengo mjini Singida, Anna Bonaventure (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Utemini, akikabiliwa na mashitaka ya kumfanyia fujo mumewe, Abdallah Ally (34) kwenye eneo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKANISA YAOMBA KUIOMBEA NCHI AMANI

Makanisa nchini yametakiwa kuendeleza amani iliyopo kwa kufanya maombi ya kuliombea Taifa ,ili amani iliyopo isivurugwe na baadhi ya watu wachache wasioitakia mema nchi hii.Hayo yalisemwa jana mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUNDI GEREJI WA TEGETA WAPELEKWA MABWEPANDE

Serikali imewataka wananchi wanaojulikana kama Umoja wa Mafundi Gereji, waliopo eneo la Tegeta Wazo Hill jijini Dar es Salaam  kuondoka eneo hilo kabla ya Agosti 17 mwaka huu na kuhamia eneo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDUGU WATANO SASA WATEMBEA KAMA WANYAMA

Familia moja ya Uturuki inawapasua kichwa wanasayansi, kutokana na wanandugu watano kutokuwa na uwezo wa kutembea kama binadamu, na badala yake wanatembea mithili ya wanyama, wakitumia miguu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA CHADEMA 'AMCHANACHANA' TUNDU LISSU

Siku moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza uwezekano wa kuwachukulia hatua wabunge wa chama hicho wanaokiuka msimamo wao wa kususa vikao vinavyoendelea vya Bunge Maalumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARI LA NANENANE LAUA WAFANYABIASHARA WANANE

Watu wanane wamekufa papo hapo, wengine tisa wakijeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Nyangao mkoani Lindi baada ya gari aina ya Land Rover, mali ya Halmashauri ya Mji Masasi kupata ajali katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEKELEZA AGIZO LA KIKWETE KUJENGA MAABARA

Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, mkoani Singida imeanza utekelezaji wa programu ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari ikiwa ni agizo lililotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa halmashauri zote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA SHERIA CHAWAVAA WAJUMBE BUNGE LA KATIBA

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuheshimu uhuru wa kutoa maoni na kupokea habari kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAWA NDIO VIONGOZI WAPYA WA CHADEMA KIGOMA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina ya viongozi wa chama hicho Mkoa wa Kigoma watakaokiongoza kwa muda kujaza nafasi zilizoachwa na waliokuwa viongozi waandamizi ambao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIBAIJUKA AELEZEA HISA MRADI WA KIGAMBONI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesema hisa ya asilimia 10 kwa fidia watakayolipwa wananchi wa Kigamboni kupisha ujenzi wa mji wa kisasa ni hiari.Akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOGORO WA ARDHI WAIBUKA MVOMERO

Mgogoro wa ardhi umeibuka katika Kitongoji cha Majichumvi katika Kijiji cha Wami Luhindo wilayani Mvomero, baada ya Maofisa Ardhi kuanza upimaji viwanja.Upimaji huo unafanyika katika utekelezaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE 1,600 WAACHIKA ZANZIBAR KATIKA MWAKA MMOJA

Takwimu za Mahakama ya Kadhi Zanzibar, zimeonesha kuwa zaidi ya talaka 1,600 zimetolewa Zanzibar kati ya 2012 na 2013, huku wanawake wengi wakitelekezwa bila kupatiwa haki zao baada ya kutengana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIBUDA AJIENGUA CHADEMA

Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda (Chadema), amesema hatagombea ubunge kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu ujao, kwa   kuwa amechoshwa na kauli za vitisho na kejeli dhidi yake, zinazotolewa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNGA WA LISHE NI HATARI KWA WATOTO

Mchanganyiko usiozingatia makundi matano ya vyakula, unaotengenezwa na wajasiriamali au nyumbani kwa ajili ya unga wa watoto maarufu ‘Lishe’, una athari za kiafya kwa watoto wachanga na walio chini ya...

View Article
Browsing all 4550 articles
Browse latest View live