MBOWE, SLAA KUTETEA NAFASI ZAO UCHAGUZI WA CHADEMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa rasmi ratiba yake ya uchaguzi wa ndani, ambapo viongozi wa taifa wa chama hicho, akiwemo mwenyekiti na katibu mkuu wapya wanatarajiwa kutangazwa...
View ArticleKESI YA ARV'S FEKI YAPIGWA KALENDA HADI SEPTEMBA 3
Kesi ya kusambaza dawa bandia za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs) inayomkabili Ofisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda cha Tanzania Pharmacentical Ltd ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa...
View ArticlePOLISI KUTUMIA MAGARI YA WASHAWASHA KUDHIBITI VURUGU IDD EL FITRI
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali vya Ulinzi na Usalama imeimarisha ulinzi ili kuhakikisha wananchi wanasherehekea Sikukuu ya Idd el Fitr kwa amani.Akizungumza...
View ArticleATUHUMIWA KUKUTWA NA MTAMBO WA KUZALISHA DOLA FEKI
Raia wa Kongo, Ambanipo Siva (33) aliyekiri kuishi nchini bila kuwa na kibali amedaiwa kukutwa na mitambo ya kutengezea dola bandia za Marekani.Wakili kutoka Idara ya Uhamiaji, Patrick Ngayomela...
View ArticleWALIMU WANNE WATIMULIWA KAZI KWA MAPENZI NA WANAFUNZI
Walimu wanne wa kiume wa Shule ya Sekondari Mwembetogwa ya mjini Iringa, wamefukuzwa kazi baada ya kubainika wakijihusisha na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi.Walimu hao walifukuzwa kazi takribani...
View ArticleVIGOGO WANNE IMTU KORTINI SAKATA LA MABAKI YA MIILI
Vigogo wanne wa Chuo Kikuu cha Kimataifa Cha Tiba na Teknolojia (IMTU), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, wakikabiliwa na mashitaka ya kutupa mifuko 83 yenye miili ya...
View ArticleBABA ACHARAZA VIBOKO WALIMU WAWILI TABORA
Vitendo vya baadhi ya wazazi, kudhalilisha walimu vinaendelea, ambapo mzazi mmoja Selemani Juma, amewashambulia walimu wawili kwa viboko.Amefanya hivyo kupinga mwanawe kurudishwa nyumbani, akashone...
View ArticleAJIRA 200 ZA KONSTEBO, KOPLO ZAPIGWA 'STOP' UHAMIAJI
Ajira za washindi 200, walioitwa kufanya usaili wa nafasi za ajira za Konstebo na Koplo wa Uhamiaji, zimesitishwa kupisha uchunguzi wa utaratibu wa uteuzi wa washindi hao. Hatua hiyo imekuja katika...
View ArticleArticle 19
Majeruhi wa ajali ya basi la Morobest lililokuwa likitokea Mpwapwa kuelekea Dar es Salaam, wakiwa wamelazwa chini kusubiria huduma ya matibabu hospitalini. Watu 17 wamethibitishwa kufariki dunia mpaka...
View ArticleArticle 18
Basi la Morobest lenye namba za usajili T 258 AHV likiwa eneo la tukio baada ya kugongana uso kwa uso na lori lenye namba T 820 CKU kwenye eneo la Pandambili, mkoani Dodoma mapema leo majira ya Saa 2...
View ArticleArticle 17
Wasamaria wakihangaika kunasua majeruhi na miili ya marehemu kutoka kwenye basi la Morobest lenye namba za usajili T 258 AHV lililogongana uso kwa uso na lori lenye namba T 820 CKU kwenye eneo la...
View ArticleArticle 16
Miili ya abiria waliokufa kwenye ajali ya basi la Morobest lililokuwa likitokea Mpwapwa ikiwa imelazwa kando ya basi hilo baada ya kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Pandambili, mkoani Dodoma...
View ArticleWAKATA MAPANGA NG'OMBE NA KUCHOMA MTUMBWI WA WAVUVI
Wananchi katika Kijiji cha Mugara, Kata ya Iramba wilayani hapa wamewakatakata kwa mapanga ng’ombe wawili wa wavuvi waliodaiwa kufanya uvuvi haramu na kuteketeza kwa moto mtumbwi wao.Imeelezwa kuwa...
View ArticleMADIWANI WAMLAUMU MKUU WA WILAYA KWA KUWADHALILISHA
Madiwani wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida waliokuwa wamewekwa mahabusu kwa amri ya Mkuu wa Wilaya, Queen Mlozi (pichani), wamesema kitendo hicho kimewadhalilisha na kuwaondolea heshima mbele...
View ArticleYATIMA 500 WASHEREHEKEA PAMOJA IDD EL FITRI
Zaidi ya watoto yatima 500 wanaoishi katika mazingira magumu jijini Dar es Salaam na wilayani Kondoa, Singida wameungana na Waislamu wengine duniani kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitr.Sherehe hizo...
View ArticleUJENZI MUHAS KUONGEZA UDAHILI WA WANAFUNZI
Kukamilika kwa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) na ujenzi wa hospitali ya kisasa katika Kijiji cha Mloganzila, kunatarajiwa kuongeza mara tano ya udahili wa...
View ArticleONYO!! SIMU ZA MKONONI, KOMPYUTA HUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME
Watanzania wametakiwa kuwa makini wanapotumia simu na kompyuta, kwani ndio chanzo cha matatizo mbalimbali yakiwemo ya kutoona, kutosikia, upungufu wa nguvu za kiume na vifo.Mshauri wa masuala ya...
View Article