CHUO KINGINE CHA TIBA MATATANI, CHAPIGWA MARUFUKU
Siku moja baada ya Serikali kuifungia kwa muda usiojulikana Hospitali ya Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU), kinachohusishwa na utupaji wa viungo vya binadamu mithili ya takataka,...
View ArticleARUSHA'S TEMDO HAS SOLUTION TO DISPOSAL OF HOSPITAL WASTE
Other than death itself, nothing gets more frightening than the sight of dead bodies and especially when they also appear in form of butchered pieces of human anatomies. But that was exactly what...
View ArticleREMY FAILS MEDICAL, LIVERPOOL MOVE OFF
Loic Remy's move from QPR to Liverpool has fallen through after the Frenchman failed a medical.The striker's transfer has been cancelled following his examination, which he underwent in Boston on...
View ArticleBOKO HARAM MILITANTS SEIZE CAMEROON VICE PM'S WIFE
Boko Haram militants attacked Kolofata, a town in Cameroon's Far North Region near Nigeria, on Sunday and seized several people including the wife of Cameroon's Vice Prime Minister Amadou Ali, a...
View ArticleKAMPUNI YA NAKUMATT KUNUFAISHA WAFANYABIASHARA
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Nakumatt Holdings Limited, Atul Shah amewahakikishia Watanzania kunufaika na duka jipya la vyakula na vifaa kwa kupata fursa mbalimbali ikiwamo kununua bidhaa za...
View ArticlePINDA ATAKA WANAOTAKA UONGOZI KWA RUSHWA WATOSWE
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa, ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015. Ametoa onyo hilo jana...
View ArticleWASIFU USHIRIKIANO WA MZUMBE, CHUO KIKUU AFRIKA KUSINI
Serikali na sekta binafsi nchini zimesifu ushirikiano wa kitaaluma uliozinduliwa kati ya vyuo vikuu vya Mzumbe na Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Stellenbosch cha Afrika ya Kusini.Taasisi hizo...
View ArticleMTANDAO WA TAASISI ZA WAKURUGENZI AFRIKA WAPANUKA
Mtandao wa Taasisi za Wakurugenzi Afrika (ACGN) umezidi kukua kwa kupata wajumbe wapya wawili katika mkutano wake jijini Dar es Salaam.Wajumbe waliosaini makubaliano na mtandao huo ni Taasisi ya...
View ArticleWASSIRA AMTAKA LISSU AWAOMBE RADHI MAASKOFU NA MASHEHE
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Sera), Stephen Wassira ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurejea bungeni na kama maoni yao ni ya...
View ArticleMAKANISA YANAYOENDEKEZA VURUGU KUFUTILIWA MBALI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema yeye mwenyewe atayafuta makanisa yote yanayoleta vurugu na uvunjifu wa amani kwa kuwa hayatoi taswira ya kile wanachopaswa kufanya na ni aibu...
View ArticleSHULE KUTIMUA WATUMIA VIPODOZI NA WAVAA MLEGEZO
Shule ya Sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, imetangaza kufukuza wanafunzi wote wanaotumia vipodozi, wanaovaa sketi fupi, milegezo na wanaotumia simu za mkononi shuleni. Mwalimu...
View ArticleMFUKO WA RAIS WAELEZA SABABU ZA MIKOPO KUTOTOLEWA
Mfuko wa Rais (PTF) Kanda ya Morogoro umeshindwa kutoa mikopo kwa wajasiriamali pamoja na Vyama vya Kuweka na Kukopa (Saccos) kwa kipindi cha miaka miwili kutokana na baadhi kushindwa kurejesha...
View ArticleKAMPUNI ZATAMANI KUINGIA UBIA NA ATCL
Kampuni kubwa za ndege zimeonesha nia ya kuja nchini kuingia ubia na Kampuni ya Ndege nchini (ATCL) kuongeza ufanisi na ushindani wa biashara katika usafirishaji wa anga. Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison...
View ArticleTAASISI YA KUFUNDISHA HISABATI YAJA, MKATABA KUSAINIWA AGOSTI 4
Serikali inatarajia kusaini makubaliano ya awali (MOU) na Taasisi ya Masuala ya Sayansi ya Hesabu Afrika (AIMS), yatakayoiwezesha taasisi hiyo kuanzisha kampasi yake hapa nchini itakayofundisha na...
View ArticleASKOFU ATAKA USHAURI WA RAIS KIKWETE BUNGE LA KATIBA UHESHIMIWE
Watanzania wameshauriwa kuendelea kuheshimu hadhi na mamlaka aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kwa kuthamini na kuzingatia mwongozo na ushauri mbalimbali anaoutoa kwa...
View ArticleSUMATRA YABARIKI UKATISHAJI TIKETI KWENYE MITANDAO
Mamlaka ya Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) imesema haina pingamizi kwa kampuni zinazotoa huduma ya usafiri wa mabasi kwenda mikoani kutumia mfumo wa kuuza tiketi kwa njia ya mtandao.Meneja...
View ArticleRAIS SHEIN KUHUTUBIA BARAZA LA EID
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein atalihutubia Taifa katika Baraza la Eid katika ukumbi wa Hoteli ya Bwawani mjini hapa.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
View ArticleBARABARA 12 ZANZIBAR ZAKARABATIWA
Bodi ya Mfuko wa Barabara Zanzibar umezifanyia ukarabati barabara 12 za mjini na vijijini, kwa lengo la kuimarisha huduma za usafiri kwa wananchi.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bodi hiyo, Shomari...
View Article