'MVUA ZINAZONYESHA NI MABADILIKO YA HALI YA HEWA'
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua zilizonyesha kuanzia alfajiri ya jana zinatokana na mabadiliko ya hali ya hewa baharini na zinatarajia kuendelea leo katika maeneo yote ya...
View ArticleMAJINA YA WANAOPIGA MABOMU ARUSHA KUANIKWA HADHARANI
Watuhumiwa wa mabomu katika maeneo mbalimbali mkoani Arusha, watawekwa hadharani hivi karibuni ikiwa ni pamoja na umma kuelezwa kilichotokea na waliowatuma.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema hayo juzi...
View ArticleUBORA HAFIFU WAKWAMISHA AJIRA KWA WAHITIMU VYUO VIKUU
Ubora hafifu wa wahitimu wa vyuo vikuu kiasi cha kusababisha wengine kutoajirika, vimeigusa serikali na sasa inatarajia kuja na mpango wa kukabili hali hiyo. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi...
View ArticlePOLISI ALIYETIMULIWA KAZI ADAKWA AKIJIANDAA KUFANYA UHALIFU
Askari Polisi aliyefukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu mwaka 2012 baada ya kukutwa na silaha katika ukumbi wa disko mkoani Kilimanjaro, James Marwa (26) amekamatwa na Polisi wa Kanda Maalumu ya...
View ArticleZITTO KABWE AKANA KUWA MWANACHAMA WA UKAWA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) amesisitiza hajawahi kuwa katika kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wala kundi lolote ndani ya Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa, yuko kwenye...
View ArticleWALIOFARIKI, MAJERUHI AJALI YA BASI LA MOROBEST HAWA HAPA
Ajali ya watu 19 wamekufa katika ajali mbili tofauti zilizotokea mkoa wa Dodoma na Arusha jana.Ajali hizo mbili zimesababisha majeruhi zaidi ya 70.Ajali ya kwanza mbaya ilihusisha basi la abiria na...
View ArticleFEMALE BOMBER KILLS 6 IN NIGERIA, GIRL WITH EXPLOSIVES HELD
A female suicide bomber killed six people at a college campus in Nigeria's Kano city on Wednesday, the fourth time Boko Haram Islamists were suspected of using a female attacker in as many days.The...
View ArticleHALMASHAURI 41 KUSHIRIKI NANENANE MWANZA
Halmashauri 41 za Kanda ya Ziwa na wadau 15 wa maonesho nya kilimo, wamethibitisha ushiriki wao kwenye Maonesho ya Wakulima (Nanenane) Kanda ya Ziwa, yaliyoanza jana.Maonesho hayo yanafanyika katika...
View ArticleWATENDAJI WAWILI WILAYA YA BAHI MATATANI
Maofisa watendaji wa vijiji viwili katika Wilaya ya Bahi, wameingia matatani baada ya kutafuna fedha za michango ya wananchi zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa maabara za shule za sekondari.Watendaji...
View ArticleASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI
Mkazi wa Kata ya Busi Tarafa ya Pahi Wilayani Kondoa mkoani Dodoma, Bakari Hussein (30) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema tukio...
View ArticleCHANA: TOENI TAARIFA ZA UKATILI WA KIJINSIA
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Pindi Chana ameitaka jamii kutoa taarifa za ukatili wa kijinsia, badala ya kuona kama ni mila na desturi.Chana alisema hayo jijini Dar es Salaam...
View ArticleSERIKALI YAMWAGA WATAALAMU KILA KONA KUKABILI EBOLA
Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesambaza wataalamu wa afya katika mipaka yote nchini, ikiwa ni tahadhari ya kukabiliana na ugonjwa wa ebola.Kusambazwa kwa wataalamu hao wa afya ni...
View ArticleWAVUVI 9 WAFARIKI DUNIA ZIWA TANGANYIKA
Wavuvi tisa wakazi wa kijiji cha uvuvi cha Mpasa wilayani Nkasi mkoa wa Rukwa, wamekufa baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Tanganyika.Habari kutoka eneo la tukio, ambazo pia...
View ArticleSHIRIKA KUFADHILI WAUGUZI 20 KUSOMA MAREKANI
Shirika la Colom Faundation Inc (CFI) la Marekani limetoa ufadhili wa mafunzo ya muda mfupi kwa wauguzi 20 nchini, watakaokwenda nchini humo kujifunza zaidi masuala ya afya ya uzazi na mtoto kwa lengo...
View ArticleOFISA WANYAMAPORI MBARONI KWA UWINDAJI HARAMU
Ofisa Uhifadhi wa wanyamapori katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Rashid Ndimbe amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kuwinda bila kibali na...
View ArticlePINDA ACHARUKA, ATAKA MAJIBU YA UZEMBE NDANI YA SAA 30
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu, ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeya, hayajafanyiwa kazi.Alitoa kauli hiyo jana mchana wakati...
View ArticleATUPA MTOTO WA SIKU MOJA KUNUSURU NDOA YAKE
Mtoto wa kike mwenye umri wa siku moja amenusurika kufa baada ya kuokolewa na wasamaria kutoka katika shimo alimotupwa na mama yake mzazi.Imeelezwa kuwa mwanamke huyo alifanya hivyo ili kulinda ndoa...
View Article