80 CHILDREN AMONG THE 298 WHO PERISHED ON DOOMED PLANE
Eighty children were among the victims killed when a passenger jet was shot out of the sky at 32,000ft by a surface-to-air missile yesterday.Two Indonesians aged just three and five who were flying...
View ArticleVODACOM YAADHIMISHA SIKU YA NELSON MANDELA
Wafanyakazi Ubalozi wa Afrika Kusini nchini na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, jana waliungana na taasisi na wananchi kutoka sehemu mbalimbali duniani katika...
View ArticleVIONGOZI WOTE WA JUU CHADEMA KIGOMA WAJIENGUA
Waliokuwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa Kigoma wamejiuzulu nyadhifa zao zote ndani ya chama hicho kwa kile wanachoeleza kukiukwa kwa misingi ya Demokrasia ndani ya chama...
View ArticleWATOTO WENGI NCHINI HAWANA VITAMIN 'A'
Zaidi ya watoto 37 kati ya 100 walio na umri chini ya miaka mitano katika Mkoa wa Dar es Salaam, wana upungufu wa Vitamini A.Mkuu wa Mkoa huo, Said Meck Sadiki alisema hayo wakati akizungumzia utoaji...
View ArticleSERIKALI KUFUMUA SHERIA ZA NDOA, MIRATHI
Serikali imesema iko katika mchakato wa kufanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Kurekebisha sheria kwa sheria 29 kandamizi zikiwemo za ndoa na mirathi.Aidha iko katika utaratibu wa kuweka...
View ArticleMTAALAMU AONYA KUHUSU NYAMA MBICHI, MAZIWA
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imewatahadharisha wananchi hasa wa jamii za wafugaji kuacha mazoea ya kunywa maziwa yasiyochemshwa pamoja na kula nyama mbichi ili kujiepusha na hatari ya...
View ArticleMAJI YA KEMIKALI YABABUA WATOTO MIGUU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge amekataa kuwapa cheti cha utunzaji wa mazingira kiwanda cha nguo cha Nida kilichopo Tabata katika Manispaa ya Ilala, Dar es...
View ArticleWATU 409 WAKAMATWA KWA UJANGILI SUGU
Watu 409 wanaosadikiwa kuwa majangili sugu wamekamatwa wakifanya ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mlele mkoa wa Katavi katika kipindi kilichoanzia Juni 2013 hadi Juni mwaka...
View ArticleKARDINALI PENGO AKUNWA NA UFAULU SHULE ZA KANISA
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameelezea kufurahishwa na ufaulu mzuri wa wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari ya St....
View ArticleUKAWA SASA KUREJEA BUNGENI KWA MASLAHI YA TAIFA
Viongozi wanaounda kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamesema hawako tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka kesho huku nchi ikiwa na Katiba ya zamani, hivyo keshokutwa...
View ArticleVIGOGO SABA MBARONI KWA KILO 40 ZA TANZANITE
Wafanyakazi saba wa kampuni ya Tanzanite One, wakiwemo viongozi wakuu wa idara ya ulinzi ya kampuni hiyo wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za wizi wa madini aina ya tanzanite yenye uzito wa...
View ArticleAUA MTOTO WA TAJIRI YAKE NA KULA UBONGO
Simanzi na vilio vilitawala jana katika Kijiji cha Samanga, Kata ya Marangu Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, baada ya mtu mmoja kumuua kwa kumcharanga mapanga mtoto wa bosi wake...
View ArticleCHELSEA SIGN FILIPE LUIS FROM ATLETICO MADRID
Chelsea have announced the signing of Atletico Madrid defender Filipe Luis on a three-year-deal.The Blues reached an agreement to sign the left-back from the Spanish champions on Wednesday and have now...
View ArticleIRINGA YAADHIMISHA SIKU YA CHIFU MKWAWA
Kwa mara ya kwanza Mkoa wa Iringa umeadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Chifu wa Wahehe, Mtwa Mkwawa tangu afariki kwa kujiua mwenyewe miaka 116 iliyopita.Maadhimisho hayo yalifanyika juzi, ambapo...
View ArticleMUHONGO ADAI BEI YA UMEME TANZANIA NI YA CHINI ZAIDI
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Tanzania ndiyo nchi pekee miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ambayo bei ya umeme ni ya chini zaidi.Pamoja na...
View ArticleAJALI ZA BODABODA ZAMTISHA RAIS KIKWETE
Kasi ya ajali za pikipiki imemtisha Rais Jakaya Kikwete na ameeleza wasiwasi kwamba ikiendelea hivyo, utafika wakati idadi ya watu watakaokufa itakuwa kubwa kuliko wanaopoteza maisha kutokana na...
View ArticleWANACHAMA 'MIZIGO' RUKSA KUONDOKA CHADEMA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema uongozi wake, utakilinda chama kwa gharama yoyote na kuwa milango iko wazi kwa watu wasio na nia ya dhati kuondoka.Mbowe...
View Article