WENYE DIGRII SASA KUFUNDISHA SHULE ZA MSINGI
Rais Jakaya Kikwete amesisitiza nia ya Serikali kutumia wahitimu wake wa vyuo vikuu, kufundisha shule za msingi huku akiwaweka sawa kwa kuwaambia kufanya hivyo si kuwashushia hadhi. Hatua hiyo ya...
View ArticleIPTL YATAKA MAHAKAMA 'IMFUNGE DOMO' KAFULILA
Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na walalamikaji wengine wawili, wamewasilisha ombi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.Walalamikaji hao wanaiomba mahakama hiyo,...
View ArticleMABOMU YATUMIKA KUZIMA VURUGU KANISA LA MORAVIAN
Jeshi la Polisi jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi, kutawanya waumini wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni, baada ya makundi mawili yanayovutana, kuibua vurugu kanisani hapo.Waumini na...
View ArticleArticle 15
Mifuko ambayo imesheheni mabaki ya kile kilichoelezwa kuwa ni mabaki ya miili ya binadamu ambayo ilitupwa na kugundulika mapema leo kwenye eneo la machimbo ya kokoto sehemu ya Mbweni Mpiji Magohe, nje...
View ArticleArticle 14
Mifuko ya plastiki inayoaminika kuwa na mabaki ya viungo na mabaki ya miili ya binadamu ikiwa imetelekezwa kwenye eneo la machimbo Mbweni Mpiji Magohe, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana.
View ArticleArticle 13
Gari lenye namba T166 CAF lililobeba mifuko hiyo ya plastiki inayoaminika kuwa na mabaki ya miili ya binadamu likiwa nje ya kituo cha polisi baada ya kukamatwa jana.
View ArticleWANAOSOMEA UALIMU WAONYWA
Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na mafunzo ya Stashahada ya Ualimu wa Shule ya Msingi (ODPE) na Sekondari, wamepewa angalizo juu ya utaratibu wa kuomba udahili, wakisisitizwa vyuo haviruhusiwi...
View ArticleWIZARA YATISHIA KUIFUTA SHULE YA MKOREA
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali imetishia kuifutia usajili shule ya kimataifa ya Eden iliyopo Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, kwa madai ya kubainika kutoa mafunzo ya Biblia kwa wanafunzi...
View ArticleRAIA WA ZAMBIA AKUTWA AMEKUFA HOTELINI DAR
Watu wanne wamekufa katika matukio tofauti, ikiwamo raia wa Zambia, Bryton Chimidu (45) aliyekutwa amekufa ndani ya hoteli ya Jangwani Sea Breeze chumba namba 217.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni,...
View ArticleWAKUU WA MIKOA WAPASHWA MIGONGANO NA MAKATIBU TAWALA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, amewataka Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala nchini, kuheshimiana.Pia, amewataka watambue kuwa wote ni wateule wa Rais, hivyo wanatakiwa wawe na...
View ArticleBOMBA JIPYA LA MAJI KUTOKA RUVU CHINI MBIONI KUKAMILIKA
Ujenzi wa bomba jipya kutoka Ruvu Chini kwenda matangi yaliyoko Chuo cha Ardhi Dar es Salaam, unakaribia kukamilika.Ujenzi wa bomba hilo lenye kipenyo cha mita 1.8 na urefu wa kilometa 56, unalenga...
View ArticleJWTZ YAONYA WANAOVAA SARE ZAKE
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya juu ya matumizi ya sare na vifaa vingine vya majeshi kwa watu wasiohusika.Limetangaza kuwa hatua kali za kisheria, zitachukuliwa dhidi ya watu...
View ArticleBARUTI YAUA WAWILI NA KUJERUHI WATATU MIRERANI
Wachimbaji wadogo wawili wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamekufa na wengine watatu wamejeruhiwa baada ya kupigwa na baruti wakiwa mgodini.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
View ArticleMRITHI WA ASKOFU LAIZER KKKT KUJULIKANA LEO
Hatima ya kinyang’anyiro cha kumpata mrithi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati, Dk Thomas Laizer aliyefariki mapema mwaka huu, inajulikana...
View ArticleSHULE KINARA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA IKO TAABANI
Shule ya Igowole, iliyoshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka huu, inakabiliwa na matatizo mengi, ikiwemo ukosefu wa mabweni, kiasi cha Mkuu wa Shule kulazimika kuhama...
View ArticleTANZANITE YA SIHILINGI BILIONI 10 ILIYOIBWA YAFICHWA SAKINA
Madini ya tanzanite kilo 15 yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 10 ya kampuni ya Tanzanite One yaliyoibwa hivi karibuni wilayani Simanjiro katika Mkoa wa Manyara, yanadaiwa kufichwa eneo la Sakina...
View ArticleBEI YA MAFUTA SASA KUSHUKA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeanza mchakato wa kutafuta namna ya kupunguza gharama za uingizaji wa mafuta nchini.Hatua hiyo itawezesha pia bei ya nishati hiyo nchini...
View Article