MWAROBAINI WA MSONGAMANO WA MAGARI WAPATIKANA
Utaratibu mpya wa kudhibiti msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, umetangazwa ambao utekelezaji wake utakapoanza, pikipiki na bajaj hazitaruhusiwa kuegeshwa wala kuendeshwa katika njia za waenda...
View ArticleBILIONEA DANGOTE KUSHUSHA NEEMA TANZANIA
Kampuni ya Dangote Group inayomilikiwa na bilionea kutoka Nigeria, imetangaza neema itakayotokana na uwekezaji wa kiwanda cha saruji unaofanyika mkoani Mtwara, miongoni mwake ikiwa ni kupungua kwa bei...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA KUJIBU HOJA ZA WABUNGE KUHUSU BAJETI LEO
Leo Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salumu, anatarajiwa kujibu hoja za wabunge kuhusu makadirio ya bajeti ya Serikali ya Sh trilioni 19.8.Tofauti na utaratibu wa kawaida wa Waziri kujibu hoja hizo kwa...
View ArticleNIGERIA JOIN ARGENTINA IN LAST 16 DESPITE MESSI MASTERCLASS
Lionel Messi continued his personal quest to be the star of a World Cup as his brace helped Argentina beat Nigeria 3-2 - but both sides still qualified for the last 16.The Barcelona forward lashed a...
View ArticleArticle 16
Giorgio Chiellini wa Italia akionesha bega lake, akidai kung'atwa na mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez, wakati wa mechi ya Kundi D baina ya nchi hizo ya Kombe la Dunia iliyochezwa jana kwenye Uwanja...
View ArticleArticle 15
Giorgio Chiellini akifunua jezi yake kumuonesha mchezaji wa Uruguay, Gaston Ramirez (kushoto) sehemu anayodai kung'atwa na mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez katika mechi baina ya timu zao za taifa...
View ArticleArticle 14
Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez akilalamika kwa maumivu baada ya kugongana na beki wa Italia, Giorgio Chiellini wakati wa mechi ya Kundi D ya Kombe la Dunia iliyozikutanisha timu hizo kwenye...
View ArticleArticle 13
Beki wa Italia, Giorgio Chiellini (kulia) akimkwatua mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez wakati wa mechi baina ya timu hizo kwenye Uwanja wa Dunas, mjini Natal jana. (AP)
View ArticleSAMSUNG WAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI
Kampuni ya Samsung Tanzania kitengo cha electroniki imewakabidhi zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na home theater, kamera, televisheni na simu za mkononi washindi 10 wa shindano lililofanyika Februari...
View ArticlePROGRAMU YA MAZINGIRA BORA YA BIASHARA YAKAMILIKA
Programu ya kuwezesha mazingira bora ya biashara (BEST AC) ambayo imedumu kwa muda wa miaka 10 inakamilisha uhai wake kesho.Programu hiyo ambayo ilikuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na kufadhiliwa na...
View ArticleJAJI WEREMA AMWITA TUMBILI MBUNGE KAFULILA
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, ameteleza ulimi tena na mara hii amejikuta akimuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) tumbili.Kabla ya kutoa kauli hiyo, Werema...
View ArticleDIT KUTOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI 2,000
Zaidi ya wajasiriamali wadogo 2,000 kutoka mikoa mbalimbali nchini wanatarajiwa kupewa mafunzo maalumu ya ujasiriamali kwa ajili yakukuza biashara zao na kuhimiri ushindani ndani na nje ya nchi.Hayo...
View ArticleMOROGORO KUACHANA NA ANALOJIA JUNI 30
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inatarajia kuzima mitambo ya kurusha matangazo kwa mfumo wa utangazaji wa analojia mkoani hapa ifikapo Juni 30, mwaka huu saa sita usiku.Hayo yalibainishwa jana...
View ArticleJAJI MIHAYO ACHAGULIWA RAIS MPYA WA BARAZA LA HABARI
Mkutano wa kumi na saba wa wanachama wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) umemchagua Jaji mstaafu Thomas Mihayo kuwa Rais Mpya wa Baraza hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.Baraza hilo lililoketi...
View ArticleKIINI CHA GRIDI YA TAIFA KUZIMIKA GHAFLA BADO KITENDAWILI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) bado halijajua sababu ya umeme kuzimika nchi nzima juzi usiku, baada ya gridi ya taifa kuzimika ghafla.Limeeleza kuwa wanafanyia kazi taarifa zilizorekodiwa na...
View ArticleCHAMA CHA CUF CHAFANYA MABADILIKO MAKUBWA
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) umeridhia uwepo wa ngazi ya uongozi wa jimbo, ili ufanane na mfumo wa vyama vingine vya upinzani nchini, kwa lengo la kuimarisha mshikamano.Pia, mkutano huo...
View ArticleZAIDI YA NYUMBA 700 BARABARA YA ARUSHA-MOSHI KUBOMOLEWA
Zaidi ya nyumba 700 zilizopo kando ya barabara ya Arusha-Moshi, zitabomolewa kupisha ujenzi wa barabara ya kutoka Arusha hadi mpaka wa Holili, kwa upande wa Tanzania na Taveta hadi Voi nchini...
View Article