$ 0 0 Giorgio Chiellini akifunua jezi yake kumuonesha mchezaji wa Uruguay, Gaston Ramirez (kushoto) sehemu anayodai kung'atwa na mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez katika mechi baina ya timu zao za taifa jana.