MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AUAWA KWA KUDAIWA MWIZI
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) cha jijini hapa, Helma Michael (22) ameuawa kwa kupigwa mawe na wanafunzi wenzake, wakimhisi kuwa ni mwizi wa kompyuta ndogo za mkononi na deki...
View ArticleHUYU NDIYE KINARA WA WIZI KWENYE MABENKI
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limefanikiwa kubaini mtuhumiwa kinara wa wizi wa mabenki, Ronald Mollel (37), ambaye ni mume wa Meneja wa Benki ya Barclays tawi la Kinondoni, Alune...
View ArticleBASI LAJIBAMIZA KWENYE LORI NA KUUA WATU 10 MWANZA
Watu 10 wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa na kokoto lililoegeshwa kando ya barabara kasha kupinduka katika eneo la...
View ArticleKUMBE 1X3 NI SAWA NA 3X1
Mwanafunzi mdadisi kambana mwalimu wake wa Hisabati kwenye kona na mambo yakawa hivi. MWANAFUNZI: Mwalimu, umesema 3X1 ni sawa na 1X3? MWALIMU: Haswaa, umenielewa vizuri kabisa. MWANAFUNZI: Kwahiyo...
View ArticleArticle 3
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa huduma ya M-PAWA ya kampuni ya Vodacom wakifuatilia kwa makini hotuba ya Rais Jakaya Kikwete katika uzinduzi huo uliofanyika kwenye Ukumbi...
View ArticleArticle 2
Waziri wa Fedha, Omar Yussuf Mzee akionesha begi lenye Bajeti ya Serikali ya Zanzibar kwa mwaka 2014/2015 jana.
View ArticleArticle 1
Sehemu iliyojengwa na wezi wa maji kama Kituo cha Kusambaza Maji (Pumping Station) kwa wateja waliofanya maungio kinyume cha utaratibu eneo la Kimara Michungwani.
View ArticleArticle 0
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO), Raymond Benjamin (kulia) baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa ndege...
View ArticleMGOGORO ZIWA NYASA WASUBIRI UCHAGUZI MKUU WA MALAWI
Jopo la marais wa zamani wanaoshughulikia mgogoro wa Ziwa Nyasa baina ya Tanzania na Malawi, linasaubiri kumalizika kwa uchaguzi Mkuu wa Malawi unaotarajia kufanyika Jumanne ijayo, ili kuingia katika...
View ArticleRAIS KIKWETE ABEBESHA WAKUU WA MIKOA MZIGO
Rais Jakaya Kikwete, amewaagiza wakuu wa mikoa kupunguza vifo vya watoto na akina mama vinavyotokana na uzazi katika mikoa yao, huku akiwahadharisha kwamba atafuatilia kwa karibu utendaji wao kuona...
View ArticleKITENDAWILI CHA USAFIRI TRENI YA TAZARA BADO KUTEGULIWA
Abiria wa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), ambayo inatakiwa kuondoka leo kwenda Zambia, wako njia panda kutokana na wafanyakazi wa shirika hilo kuendelea na mgomo wakidai...
View ArticleWEREMA AOMBA RADHI KWA KAULI YAKE YA KIBAGUZI
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema, jana aliomba radhi Bunge baada ya kutoa kauli, iliyoonesha ubaguzi kwa wabunge kutoka Zanzibar.Kabla ya kuomba radhi, kauli hiyo ilisababisha wabunge...
View ArticleSERIKALI YASEMA UDA NI 'MALI YA UMMA'
Hadi sasa mmiliki halali wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ni Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na Serikali kupitia Msajili wa Hazina.Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima alisema hayo jana...
View ArticleSPIKA MAKINDA AMPASHA NYALANDU WIZARA ITAMSHINDA
Spika wa Bunge, Anne Makinda ameshauri Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuwa kitu kimoja na watendaji wake vinginevyo, wizara itamshinda. Ushauri huo aliutoa baada ya Bunge kupitisha...
View ArticleArticle 6
Warembo wanaoshiriki Shindano la Miss Dar City Center 2014 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari jana.
View ArticleArticle 5
Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakimsikiliza kwa makini mkufunzi, Peter Ssali (hayupo pichani) katika mafunzi ya siku tatu kuhusu utoaji huduma bora kwa Bodi hiyo ili kuwa...
View ArticleArticle 4
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhandisi Stellah Manyanya akizungumza na watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo ya Uyole iliyopo mkonia Mbeya walipomtembelea ofisini kwake jana kutambulisha mpango wa SARD...
View ArticleArticle 3
Baadhi ya washiriki wa tamasha la "Mtu Kwao" wakipita mbele ya jukwaa kuu wakati wa uzinduzi wa tamasha hilo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha jana.
View ArticleETO’O SLAMS ‘FOOL’ MOURINHO OVER AGE JIBE
Samuel Eto'o has described Chelsea manager Jose Mourinho as a "fool" for questioning his age and vowed to play on at the highest level for some time to come. Mourinho, who was also Eto'o's manager at...
View ArticleBAJETI YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
HOTUBA YA WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LAKUJENGA TAIFAMHE. Dkt. HUSSEIN ALI MWINYI (MB) AKIWASILISHA BUNGENIMAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZIYA FEDHA KWA MWAKA 2014/15UTANGULIZI1. Mheshimiwa Spika,...
View Article