WANAFUNZI BAGAMOYO WAHIMIZWA KUZINGATIA MASOMO
Wanafunzi wa shule za sekondari wilayani Bagamoyo, wametakiwa kusoma kwa bidii na kufanya vizuri kwenye mitihani yao, kama wanataka kufanikiwa katika maisha yao, kwani elimu ni mkombozi wa maisha ya...
View ArticleMADAKTARI BINGWA KUTOKA INDIA WAJA NCHINI
Madaktari bingwa wa viungo na mgongo kutoka India, wanatarajia kuwasili nchini wiki hii kwa ajili ya kuwachunguza na kutibu watu wenye maradhi hayo.Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Hospitali ya...
View ArticleEKELEGE ABANWA NA TAKUKURU MAHAKAMANI
Ofisa Uchunguzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Thadei Nzalalila, ameieleza Mahakama kwamba aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege alikiri...
View ArticleSHILINGI MILIONI 540 ZATENGWA KUKABILI HOMA YA DENGUE
Shilingi milioni 132 zimetumika, huku Sh milioni 540 zikitengwa kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa dengue, ulioibuka hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Aidha, Wizara ya Afya na Ustawi wa...
View ArticleWAFANYAKAZI TAZARA WAGOMA WAKIDAI KULIPWA MISHAHARA YAO
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wamegoma kufanya kazi kwa kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitatu.Wafanyakazi hao walianza mgomo huo juzi wakishinikiza uongozi...
View ArticleBALOZI WA MALAWI KUZIKWA LEO JIJINI BLANTYRE
Balozi wa Malawi nchini Tanzania aliyefariki ghafla Ijumaa iliyopita jijini Dar es Salaam, Flossie Gomile-Chidyaonga, anatazamiwa kuzikwa leo katika jiji alilozaliwa la Blantyre, Malawi. Mwili wa...
View ArticleWANAJESHI WAMTUMIA SALAMU RAIS KIKWETE
Wanajeshi nchini, wamemwahidi Rais Jakaya Kikwete kuendelea kusimama imara, kupokea na kutii amri na maelekezo yake bila hila na kuhakikishahawayumbishwi na kauli potovu za kisiasa. Ahadi hiyo...
View ArticleAFA NA KUHARIBIKA NYUMA YA KITUO CHA POLISI
Mkazi wa Kijiji cha Lubungo wilayani Mvomero, Juma Mbega, amekutwa amekufa na mwili wake kuharibika nyuma ya Kituo Kikuu cha Polisi mkoani Morogoro.Akizungumza na mwandishi jana baada ya kugundulika...
View ArticleMATOKEO YA UTAFITI WA CHANJO YA UKIMWI KUTOLEWA LEO
Matokeo ya utafiti wa chanjo ya ugonjwa wa Ukimwi na magonjwa yasiyoambukizwa nchini, yatatolewa katika kongamano la kisayansi linaloanza leo jijini Dar es Salaam.Kongamano hilo la siku mbili lenye...
View ArticleBOSI WA UNDP DUNIANI ATAKA UKAWA WARUDI BUNGENI
Kiongozi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Helen Clark, ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kurejea kujadili...
View ArticleVAN GAAL REFUSES TO DISCUSS POSSIBLE MAN UNITED MOVE
Louis van Gaal refused to answer questions on Tuesday about his possible appointment as the new Manchester United manager as speculation mounted over an imminent announcement.The Netherlands coach...
View ArticleVODACOM, CBA WAZINDUA HUDUMA MPYA YA M-PAWA
Kampuni kinara ya mtandao wa huduma za mawasiliano ya simu za mkononi nchini Vodacom na Benki ya Biashara Afrika (CBA), jana walizindua huduma mpya yenye kuleta mapinduzi makubwa ya M-Pawa...
View ArticleSHULE YA SEKONDARI AZANIA YAHITAJI VYOO
Shule ya Sekondari Azania jijini Dar es Salaam inaomba msaada wa kukarabatiwa miundombinu ya vyoo, kutokana na miundombinu iliyopo kufungwa kwa kuwa hafifu huku ikiepushwa kutiririsha maji machafu nje...
View ArticleKESI YA MADABIDA YAAHIRISHWA HADI JUNI 10
Kesi ya kusambaza dawa bandia za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs), inayomkabili Ofisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda cha Tanzania Pharmacetical Ltd ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,...
View ArticleWAZIRI AKERWA NA MAUAJI YA WANAWAKE MKOANI MARA
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema mauaji ya wanawake katika mkoa wa Mara yanalitia taifa aibu na uvunjaji wa sheria na haki za binadamu.Alisema hayo jana wakati wa...
View ArticleNHC YATAKA ARDHI IJENGE NYUMBA ZA BEI NAFUU
Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Manispaa, Miji na Majiji wamehamasishwa kulipatia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ardhi ili liweze kujenga nyumba za bei nafuu na kuwauzia wananchi wa maeneo...
View ArticleMAMEYA, WAKURUGENZI WAKOROFI KUTIMULIWA KAZI
Serikali imesema kuanzia sasa itawaondoa madarakani mameya, wenyeviti wa halmashauri na wakurugenzi katika halmashauri zitakazokumbwa na mgogoro.Waziri Mkuu Mizengo Pinda, alisema mjini hapa jana kuwa...
View ArticleVIPIMO NA MATIBABU HOMA YA DENGUE NI BURE
Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kwenda katika hospitali za Serikali wanapohisi dalili za ugonjwa wa denge, kwa kuwa matibabu hutolewa bure wakati Serikali ikijiandaa kusambaza vifaa vya...
View ArticleZANZIBAR YATANGAZA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 707.8
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza Bajeti yake ya Sh bilioni 707.8, kwa mwaka wa fedha 2014/2015 ambayo imeweka kipaumbele zaidi katika kukusanya kodi na kutekeleza miradi ya maendeleo ya...
View ArticleWAFANYAKAZI WALIOGOMA TAZARA WAGOMA KURUDI KAZINI
Menejimenti ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), imejikuta katika wakati mgumu, baada ya wafanyakazi waliogoma, kukataa kurudi kazini huku Serikali ikitoa masharti ya...
View Article