BOMU LALIPUKA ENEO LA KANISA LA KKKT MWANZA
Bomu limelipuka katika nyumba ya kulala wageni iliyopo katika eneo la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Usharika wa Imani, jijini Mwanza na kujeruhi vibaya mtumishi wa kanisa hilo.Akizungumza na...
View ArticleVYAMA VYA SIASA VYASHINDWA KUTOA TAARIFA KWA MKAGUZI MKUU
Vyama 10 vya siasa kati ya 21 vyenye usajili wa kudumu, vimeshindwa kuwasilisha hesabu zao za vyama kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa ajili ya ukaguzi.Kati ya hivyo, vyama 11...
View ArticleArticle 16
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk Servacious Likwelile akisaini mkataba wa msaada wa Shilingi bilioni 134 kwa niaba ya Serikali ya Tanzania jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi wa Umoja wa Ulaya...
View ArticleArticle 15
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akiongea na wadau mbalimbali wa elimu wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwamo walimu wa shule za msingi na sekondari, wamiliki wa shule binafsi na wanafunzi wakati wa...
View ArticleArticle 14
Mwanafunzi Hussein Hemed Hussein wa Shule ya Msingi Tusiime akipokea cheti cha pongezi kwa kuwa mshindi wa jumla katika mitihani ya Taifa kwa mwaka 2013 kwa shule binafsi za Dar es Salaam.
View ArticleArticle 13
Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika mkutano wa mafunzo ya masuala ya mazingira wakati wa kuelekea Siku ya Mazingira Duniani mapema mwezi ujao.
View ArticleWANAHISA CRDB WASHAURIWA KUTOUZA HISA ZAO
Wanahisa wa benki CRDB, wameaswa kuacha kuuza hisa zao badala yake waendelee kuziweka na kujengewa uwezo, ili wapate maendeleo zaidi.Aidha benki hiyo inatarajia kuanza kuuza hisa zake nchini Kenya, ili...
View ArticleKANISA LA TAG LAANDAA IBADA YA UAMSHO MIAKA 75
Kanisa la Tanzania Assemblies of God (Victory Christian Center Terbenacle) Mbezi A jijini Dar es Salaam linaloongozwa na Mchungaji Kiongozi, Dk Huruma Nkone, katika kuelekea maadhimisho ya miaka 75 ya...
View ArticleIPTL WAJIWEKA SAWA KUUZA UMEME SENTI 6 KWA UNITI
Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imepanga kushusha bei ya umeme kwa Shirika la Umeme (Tanesco), kutoka kati ya senti za kimarekani 26 mpaka 30 kwa uniti moja, mpaka senti sita na...
View ArticleWANAOJIDUNGA DAWA ZA KULEVYA WANA VIRUSI VYA UKIMWI
Asilimia 36 ya watu wanaotumia dawa za kulevya kwa njia ya kujidunga sindano nchini, wana maambukizi ya virusi vya Ukimwi.Takwimu hizo huenda zikaongezeka, ikiwa jamii haitaelimishwa jinsi ya...
View ArticleVIFAA VYA KISASA VYAKWAMISHA UPIMAJI HALI YA HEWA
Ukosefu wa vifaa vya kisasa vya kupimia hali ya hewa katika nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania, umesababisha nchi hizo kushindwa kukabiliana na changamoto za ongezeko la mabadiliko ya hali ya hewa...
View ArticleMGOMO WA WAFANYAKAZI WA STRABAG WAMALIZIKA
Wafanyakazi wa Kampuni ya Strabag inayojenga barabara za kasi jijini Dar es Salaam, wamerejea kazini baada ya mgomo wa siku saba.Hayo yamethibitishwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Migodi,...
View ArticleKIKWETE KUZINDUA MPANGO WA BILIONI 100 WA UBORA WA ELIMU
Serikali inatarajia kuzindua mpango wa Sh bilioni mia moja unaolenga kufanya ubora wa elimu kuwa uhai wa madarasa hapa nchini.Mpango huo utazinduliwa na Rais Jakaya Kikwete Mei, 10 mwaka huu katika...
View ArticleMVUA ZASABABISHA MFUMUKO WA BEI KUJICHEKECHA
Mvua zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini, zimesababisha mfumuko wa bei wa taifa kwa mwezi Aprili kuongezeka hadi kufikia asilimia 6.3 kutoka asilimia 6.1.Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya...
View ArticleMBUNGE WA CHADEMA AWAACHA VINYWA WAZI WENZAKE
Mbunge wa Viti Maalumu, Leticia Nyerere (Chadema) ameeleza kufurahishwa na Serikali kwa kufanyia kazi maombi yote ambaye amekuwa akiyawasilisha bungeni, miongoni mwake ikiwa ni pamoja na wananchi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEUA KAMISHNA MKUU MPYA WA TRA
Rais Jakaya Kikwete amemteua, Rished Bade kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).Taarifa ya uteuzi huo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.Kwa mujibu wa Balozi Sefue...
View ArticleMGAHAWA UNAOZUNGUKA DAR WAKAMATWA KWA KUKWEPA KODI
Mgahawa maarufu jijini Dar es Salaam unaozunguka juu ya jengo la Golden Jubilee lenye zaidi ya ghorofa 20, umekamatwa kwa kukwepa kodi baada ya kuacha kutumia Mashine ya Kodi ya Kielektroniki (EFDs)...
View ArticleWAJUMBE UKAWA, TANZANIA KWANZA WALUMBANA BUNGENI
Kauli ya Mbunge wa Viti Maalumu, Pauline Gekul (Chadema), aliyoitoa jana kwamba CCM imechoka na haitoshi, ilisababisha kuibuka kwa malumbano kati ya makundi mawili yaliyoundwa ndani ya Bunge Maalumu la...
View ArticleWORKER KILLED IN ELECTRICAL ACCIDENT AT BRAZIL STADIUM
A worker at a World Cup stadium in the Brazilian city of Cuiaba was killed in an electrical accident on Thursday, temporarily halting construction of the stadium and adding to woes in the rushed...
View ArticleWANAFUNZI 237 WATIMULIWA CHUO CHA POLISI KWA VYETI FEKI
Jeshi la Polisi nchini limewatimua jumla ya wanafunzi wa uaskari 237 wa Chuo cha Taalumu ya Polisi Moshi, kutokana na makosa mbalimbali yakiwemo ya kughushi vyeti, matatizo ya kiafya pamoja na makosa...
View Article