RAIS KIKWETE ATANGAZA NEEMA KWA MAJAJI NA MAHAKIMU
Serikali inatarajiwa kuajiri mahakimu wapya zaidi ya 300 katika mwaka ujao wa fedha 2014/ 2015 na mwaka unaofuata wa 2015 /2016, itaajiri mahakimu wengine 300. Rais Jakaya Kikwete alisema hayo jana...
View ArticleASKARI WANYAMAPORI WAUA NG'OMBE 150 BIHARAMULO
Ng’ombe 150 wameuawa na askari wa Wanyama Pori katika Hifadhi ya Biharamulo, kutokana na mgogoro uliokuwepo wa kuwaondoa baadhi ya wafugaji, waliovamia eneo la hifadhi.Waziri wa Ardhi, Nyumba na...
View ArticleDALADALA 1,800 KUONDOLEWA NJIA KUU
Daladala 1,800 zinazofanya safari zake kati ya Kimara na Kivukoni, zinatarajiwa kuondolewa katika barabara hiyo yenye wateja wengi, baada ya kuanza kwa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi...
View ArticleBUNGE FUPI LA BAJETI LEO, KILA WIZARA KUJADILIWA SIKU MOJA TU
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo linaanza kikao chake cha Bajeti, ambapo muda wa kuchangia na kuwasilisha bajeti za wizara mbalimbali, umepunguzwa.Katika mkutano wake na waandishi wa...
View ArticleNIGERIAN FIRST LADY ALLEGEDLY ACCUSES PROTESTERS OF MAKING UP KIDNAPPINGS
Nigerian First Lady Patience Jonathan reportedly demanded the arrest of the woman who has been leading protests denouncing the government's response to terrorist kidnapping of more than 200...
View ArticleArticle 15
Kampuni ya Airtel Tanzania imezindua duka lake Mlimani City mwishoni mwa wiki baada ya lifanyia matengenezo makubwa na kulipatia muonekano wa kisasa zaidi.
View ArticleArticle 14
Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Geoffrey Mgimwa akiingia bungeni kwenda kuapa huku akisindikizwa na wapambe wake, mjini Dodoma jana.
View ArticleArticle 13
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wapambwe wake kuingia bungeni kwenda kuapa mjini Dodoma jana.
View ArticleArticle 12
Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chadema, Joshua Nassari akijumuika na wadu wengine katika uzinduzi wa duka la Fifi Premium Bakery mjini Arusha mwishoni mwa wiki.
View ArticleDEBUTANT WILSON’S DOUBLE FIRES UNITED TO VICTORY OVER HULL CITY
Manchester United's 18-year-old debutant James Wilson scored twice on his debut as United beat Hull City1-0 at Old Trafford to bounce back from their shock home defeat against Sunderland at the...
View ArticleWAKONGO WAFURAHIA UFUNGUZI WA OFISI YA TPA LUBUMBASHI
Wafanyabiashara wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC), wameelezea na matumaini yao kwa hatua ya Tanzania kufungua ofisi ndogo ya mawasiliano ya Mamlaka ya Bandari (TPA) mjini Lubumbashi, Katanga...
View ArticleAFARIKI KWA CHAKULA KINACHODHANIWA KUWA NA SUMU
Mkazi wa Kitunda aliyetambuliwa kwa jina la Shabani Linus (35) amekufa baada ya kula chakula kinachodhaniwa kuwa na sumu.Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala Marietha Minangi, tukio hilo ni la...
View ArticleACT-TANZANIA KUMSHAWISHI ZITTO KUJIUNGA NAO
Mwanachama wa chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), Dk Kitila Mkumbo, amesema atahakikisha anazungumza na viongozi wa chama hicho, ili wamshawishi mbunge wa...
View ArticleKORONGO KUTOWEKA ZIWA MANYARA KWA KUNYWA MAJI YA SUMU
Viumbe hai vinavyotumia maji katika ziwa Manyara lililopo ndani ya mbuga ya Hifadhi ya Taifa ya Manyara wakiwemo ndege aina ya korongo huenda wakatoweka kwa kufa kufuatia kunywa maji yanayodaiwa kuwa...
View ArticleHESLB WAFUNGUA MAOMBI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WAPYA
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imefungua maombi ya mikopo kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na Taasisi za Elimu ya Juu zinazotambulika, kwa masomo ya shahada mbalimbali kwa...
View ArticleMAWAKILI WAOMBA FUIME KUFUTIWA KESI YA MAUAJI
Mawakili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime (61), wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuta kesi ya mauaji ya watu 27 inayomkabili Fuime na wenzake 11.Wakiwasilisha...
View ArticleWABUNGE DAR KUSITISHA OPERESHENI SAFISHA JIJI
Umoja wa wabunge jijini Dar es Salaam, umesema utasitisha operesheni ya safisha Jiji ambayo inaendelea, na kuendeshwa kibabe ambapo ni kinyume na makubaliano yao na Mkuu wa Mkoa.Akitoa kauli hiyo...
View ArticleMKUTANO MKUU WA ALAT WAAHIRISHWA
Mkutano mkuu wa 30 wa kitaifa wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliokuwa uanze leo jijini Tanga, umeahirishwa kutokana na kuingiliwa na ratiba za Bunge la Bajeti lililoanza shughuli zake...
View ArticleKITABU CHA KERO ZA MUUNGANO CHAANDALIWA
Wakati Muungano ukiwa hoja kuu katika mchakato wa Katiba mpya uliofikia katika ngazi ya mjadala wa Bunge Maalumu, Serikali imeandaa kitabu maalumu kinachoelezea historia, utekelezaji wa mambo ya...
View ArticleCCM YAGOMA KUWABEMBELEZA WAJUMBE WA UKAWA
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kwamba hakina mpango wa kushawishi viongozi wa Serikali au viongozi wa kitaifa, wawalazimishe au wawabembeleze wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia...
View Article