$ 0 0 Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika mkutano wa mafunzo ya masuala ya mazingira wakati wa kuelekea Siku ya Mazingira Duniani mapema mwezi ujao.