Quantcast
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAGUZI MKUU, TAKUKURU WAITWA SAKATA LA IPTL

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wameagizwa kuchunguza na  kujiridhisha kama kweli upo uchotaji wa mabilioni ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 15

Msanii maarufu wa vichekesho na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Mengere 'Steve Nyerere' (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kuteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Joseph Kabila, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu, mjini Kinshasha jana. Rais Kikwete alikuwa katika ziara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 13

Michepuko kweli sio dili!! Daladala lifanyalo safari zake kati ya Kawe na Mbagala Rangi Tatu likiwa limenasa kwenye mtaro eneo la Kinondoni Morocco jana, wakati dereva wa basi hilo alipokuwa kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOURE STARS AS MAN CITY BEAT PALACE TO CLOSE GAP ON LIVERPOOL

Yaya Toure scored one and made one as Manchester City took full advantage of Liverpool's slip-up against Chelsea and closed the gap on the Reds to three points.City were visibly buoyed by Chelsea's 2-0...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGODI WA BUZWAGI KUFUNGWA NDANI YA MIAKA MIWILI IJAYO

Mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo Kahama mkoani Shinyanga, huenda ukafungwa ndani ya miaka miwili ijayo ili kuiepushia hasara kampuni inayochimba dhababu katika eneo hilo, African Barrick Gold.Meneja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA IPO KWA WENYE DHAMANA

Hatima ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu kwa mujibu wa sheria, iko mikononi mwa waziri mwenye dhamana.Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUCTA YALALAMIKIA UTITIRI WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) nchini limependekeza kuwepo kwa mifuko miwili ya hifadhi za jamii ili kupunguza gharama kubwa ya kuiendesha na kwamba gharama hizo ziingizwe kwenye mafao ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE ASHAURI WAZIRI WA KILIMO ATAFUTE KAZI NYINGINE

Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM) amesema haiingii akilini kuona Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika kuendelea kuwa madarakani licha ya kushindwa kusimamia maeneo muhimu ya kilimo kama wakulima...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI YAPANGA KUNUNUA MAGARI MAPYA 700

Serikali inatarajia kununua magari mapya 700 kwa ajili ya polisi ambayo yatatumika katika shughuli mbalimbali ikiwemo Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwakani.Hatua hiyo inatokana na Serikali kujipanga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU WAKURUGENZI MALIASILI

Serikali imesema Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na Mkurugenzi Msaidizi wa  Idara ya Matumizi Endelevu ya Wanyamapori, Profesa Jafari Kideghesho, hawajawahi kufukuzwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUKSA KUIKEMEA SERIKALI INAPOKOSEA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema ruksa wabunge kukemea Serikali inapokosea lakini wasiikatishe tamaa katika mambo mazuri inayoyafanya badala yake waipe moyo. Kauli hiyo aliitoa wiki hii bungeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA APIGA MARUFUKU UKAWA KWENYE BUNGE LA BAJETI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema ni marufuku kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya shughuli zake ndani ya Bunge la Bajeti.Alisema hayo juzi bungeni baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAKERWA NA VITENDO VYA UCHOMAJI MAKANISA

Serikali imetoa tamko juu ya mfululizo wa vitendo vya uchomaji makanisa vilivyoibuka hivi karibuni na kusema  imeagiza dola ikaze uzi kukabili wimbi hilo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema juzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIMU, WANAFUNZI NA SHULE BORA WAJAZWA MANOTI

Serikali jana ilimwaga mamilioni ya fedha kwa wanafunzi, walimu, shule, halmashauri na mikoa iliyofanya vizuri katika elimu miongoni mwake ikiwa ni kitita cha Sh milioni tatu kilichotolewa kwa shule 60...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUZUKU YA PEMBEJEO KWA VOCHA YAFUTWA

Serikali imetangaza rasmi kuondoa utaratibu wa ruzuku kwa kutumia vocha za pembejeo.Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza alisema  hayo jana katika hotuba ya makadirio ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AWAUA WAZAZI WAKE KWA SHOKA NA KUTEKETEZA NYUMBA YAO

Simanzi kubwa imetanda katika Kijiji cha Roo, Kata ya Masama Mashariki wilayani Hai, Kilimanjaro, baada ya kijana mwenye umri wa miaka 32 kuwaua wazazi wake wawili kwa  kutumia panga na shoka, kisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANCHESTER CITY CROWNED EPL CHAMPIONS

Manchester City beat West Ham 2-0 at the Etihad Stadium to win the Premier League on the final day of the season, despite Liverpool coming from behind to beat Newcastle.City needed a victory to ensure...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 15

Mlezi wa Chama cha Wake wa Viongozi, Mama Tunu Pinda akipokea vitabu vyenye thamani ya Shilingi milioni 35 kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kituo cha Kuendeleza Vipaji vya Vijana (THT), Mwita Mwaikenda, kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia watoto mapacha waliokuwa wakisubiri matibabu kwenye Hopsitali ya Ngaliema iliyopo jijini Kinshasa jana. Rais alikwenda hapo kumjulia hali Balozi wa Tanzania nchini DRC,...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live