Quantcast
Browsing all 4580 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOMANI ASHANGAA WANAOTAKA KUKIMBILIA MSITUNI KATIBA MPYA

Jaji mstaafu Mark Bomani amewashangaa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai kuwa wasipopata Katiba mpya watakwenda msituni na kuhoji wanakwenda huko kufanya nini wakati msituni ni kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITUO VYA MAFUTA KUFUNGWA MASHINE ZA ELEKTRONIKI

Baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuanzisha matumizi ya mashine za kielektroniki za utoaji wa risiti (EFDs) kwa wafanyabiashara ndogo na wa kati, sasa imevigeukia vituo vya mafuta kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEEMA YAZISHUKIA SHULE ZA SEKONDARI ZA KATA

Serikali imesema imejipanga kuongeza uwekezaji katika Shule za Sekondari za Kata nchini ili kuongeza kiwango cha ufaulu ambapo pia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa  katika sekta ya elimu umesaidia kuinua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AUA MKEWE MJAMZITO AKIDAI NI MVIVU WA KULIMA

Mjamzito Agatha Isack (19) amekufa kwa kipigo kutoka kwa mumewe akisaidiwa na mwanamke anayeaminika kuwa hawara yake, akimtuhumu  kuwa mvivu  wa kulima shambani.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOTOO ZE BINGWA AAMUA KUJIWEKA KANDO KILI MUSIC AWARDS

Tuzo za muziki Tanzania 'Kili Music Awards' zimepata pigo jingine baada ya mwanamuziki mashuhuri wa dansi na rapa, Totoo Ze Bingwa kutangaza kujiondoa kwenye tuzo hizo.Katika taarifa yake aliyoisambaza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAYWEATHER REMAINS PERFECT WITH WIN OVER MAIDANA

Floyd Mayweather claimed a majority decision over Marcos Maidana to unify their welterweight titles but will consider a rematch after a close encounter.After easing through his last three fights on...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUVENTUS WIN THIRD STRAIGHT SERIE A TITLE AS ROMA LOSE

Juventus won a third consecutive Serie A title without playing on Sunday when AS Roma, the only team who could catch them, suffered a shock 4-1 defeat at relegation-threatened Catania.Roma, who had...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 15

Ofisa Utetezi na Mitandao ya Kijamii kutoka Shirika la KIVULINI, Khadija Liganga akifafanua jinsi shirika hilo lilivyoweza kuliinua Shirika la Mtandao la Watoto la Mwanza (Mwanza Youth and Children...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

Rais Jakaya Kikwete, Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu Othman Chande na Rais wa Chama cha Kimataifa cha Majaji Wanawake wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa chama hicho uliofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 13

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula (wa pili kutoka kulia) akiwa pamoja na Ofisa Ubalozi Kitengo cha Utalii, Immaculata Diyamett wakifuatilia maelezo wakati wa maonesho ya picha huko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 12

Wakazi wa kijiji cha Chipanga, wilayani Bahi, mkoa wa Dodoma wakibeba vitanda vya msaada vilivyotolewa na Vodacom Foundation kwa ajili ya wodi ya akinamama. Msaada huo uligharimu jumla ya Shilingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VYAMA VYA TUMBAKU VYATAKIWA KUTUMIA BENKI

Vyama vya msingi vya wakulima wa zao la tumbaku wilayani Kahama mkoani Shinyanga, vimetakiwa kushirikiana na taasisi za kifedha zikiwemo benki ili waweze kupata mikopo kwa haraka, itakayokuza mitaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CDA YAENDESHA ZOEZI LA BOMOABOMOA MLIMWA KUSINI

Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) imeendesha  zoezi la kubomoa nyumba  eneo la Mlimwa Kusini, karibu na yalipo majengo ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika Manispaa ya Dodoma. Kwa mujibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTUHUMIWA WA MAUAJI BUTIAMA KUFIKISHWA KORTINI

Jeshi la Polisi mkoani Mara limesema kuwa linakamilisha taratibu za kisheria, ili liweze kumfikisha mahakamani mtuhumiwa wa mauaji, anayedaiwa kuua mwenzake kwa kumpiga na rungu wakiwa kwa mpenzi wao,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGEJA ADAI LEMBELI AMELEWA MADARAKA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amedai kuwa kauli ya Mbunge wa Jimbo la Kahama, James Lembeli ya kusema kuwa CCM si mama yake ni kama kitendo cha kulewa madaraka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAASKOFU WAMTABIRIA MAKUBWA KIGWANGALA

Maaskofu wa Kanisa la Pentekoste Zanzibar, wamemsifu Mbunge wa Nzega, Dk Hamis Kigwangala kuwa ni kiongozi anayejali Muungano na kumtabiria makubwa katika safari yake ya kisiasa nchini. Viongozi hao wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA MBUNGE WA BAHI YAPIGWA KALENDA

Uamuzi wa ombi la Mbunge wa Bahi, Omary Badwell (CCM),  kwamba usikilizwaji wa kesi inayomkabili ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni nane usitishwe, utatolewa Mei 12 mwaka huu. Uamuzi huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA WACHINA WA MENO YA TEMBO KUSIKILIZWA MEI 13

Mashahidi wa upande wa mashitaka katika kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4, inayowakabili raia watatu wa China, wataendelea kutoa ushahidi Mei 13 na 14 mwaka huu katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA KINGINE CHA SIASA CHAPA USAJILI WA KUDUMU

Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), jana kilikabidhiwa cheti cha usajili wa kudumu na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi.Jaji Mutungi alikabidhi cheti hicho...

View Article
Browsing all 4580 articles
Browse latest View live