$ 0 0 Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Geoffrey Mgimwa akiingia bungeni kwenda kuapa huku akisindikizwa na wapambe wake, mjini Dodoma jana.