MAMENEJA BARCLAYS KORTINI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MILIONI 479/-
Watu saba wakiwemo mameneja wawili wa Benki ya Barclays, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya wizi wa zaidi ya Sh milioni 479 katika benki...
View ArticleHATARI!! MAFUTA YA KULA YANAYOPIGWA JUA NI SUMU
Wananchi wametakiwa kuacha kununua mafuta ya kula, yanayouzwa yakiwa yamewekwa juani, kutokana na kuwa na athari kubwa kiafya, ikiwemo kusababisha ugonjwa wa saratani.Mkaguzi wa Chakula kutoka Mamlaka...
View ArticleMAYWEATHER, ELLERBE COMPLAIN ABOUT MAIDANA'S GLOVES, THREATEN TO CANCEL FIGHT
LAS VEGAS– A bizarre controversy erupted late Friday afternoon following the weigh-in for the Floyd Mayweather-Marcos Maidana fight at the MGM Grand Garden that a Mayweather team executive said put the...
View ArticleSUNDERLAND STUN MAN UNITED AWAY TO CONTINUE RACE FOR SURVIVAL
Manchester United captain Nemanja Vidic (C) and his players react after conceding a goal to Sunderland during their English Premier League soccer match at Old Trafford in Manchester, May 3,...
View ArticleBARCELONA TITLE HOPES IN TATTERS AS GETAFE EARN LAST-GASP DRAW
Lionel Messi opened the scoring in the 23rd minute, rounding off a neat passing move to convert Dani Alves’ pull-back. The Argentine, unmarked on the penalty spot, timed his run perfectly to meet the...
View ArticleFULHAM RELEGATED AFTER LACKLUSTRE DEFEAT TO STOKE
Scott Parker, Steve Sidwell and Darren Bent of Fulham react as their side concedes a second goalFulham have been relegated with a whimper after being battered 4-1 by Stoke City at the Britannia...
View ArticleArticle 17
Diwani wa Viti Maalum wa Wiliya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani, Valeriana Mkoka akizungumza na wana kijiji Cha Masanganya wakati wa Mkutano wao uliokuwa ukijadili kufukunzwa kwa Mwenyekiti wa Kijiji hicho,...
View ArticleArticle 16
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Magole, iliyopo wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro ,juzi wakiwa wameketi kwenye dawati yaliyotolewa msaada na Benki ya Posta Tanzania (TPB), Tawi la Morogoro,...
View ArticleArticle 15
Eneo la Soko la Buguruni Dar es Salaam likiwa limezungukwa na Lundo kubwa la takataka huku wafanyabiashara wakiwa wanaenderea Shughuli zao jambo ambalo ni hatari kwa Afya zao na kwa wateja wanao nunua...
View ArticleArticle 14
Rais Jakaya Kikwete akikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 150/- kwa wawakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Moyo wa Huruma kilichopo mkoa wa Geita, Jacob Musa (watatu kushoto) na Julitha...
View ArticleTAIFA STARS KUPEPETANA NA MALAWI LEO
Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo itakuwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya taifa ya Malawi, The Flames.Huo utakuwa mchezo wa...
View ArticleVODACOM, CALVARY ZAUNGANISHA NGUVU YA MAWASILIANO
Kampuni za Vodacom Group Limited na Cavalry Holdings Limited zimeungana baada ya Tume ya Ushindani (FCC) kuridhia maombi ya muungano wa kampuni hizo.Muungano wa Vodacom na Cavalry Holdings Limited...
View ArticleRAIS KIKWETE ATAKA SEKTA BINAFSI KUKABILI UKIMWI
Rais Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi kujihusisha zaidi katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, kwa sababu ugonjwa huo unaathiri uchumi, biashara na kuongeza mzigo wa gharama za uzalishaji...
View ArticleFAMILIA YA MAREHEMU YAHAMAKI MTUHUMIWA KUTOSHITAKIWA
Familia ya marehemu Chacha Silas (59), mkazi wa kitongoji cha Bumangi, kijiji cha Wegero, wilaya ya Butiama, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha jeshi la polisi wilayani humo, kutomfikisha...
View ArticleKINANA AKEMEA WANAOPOTOSHA KATIBA MPYA
Siku moja baada ya viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuondoka Pemba, wakidai kuelezea sababu za wao kususa Bunge Maalumu la Katiba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka...
View ArticleZANA HARAMU ZA UVUVI ZA MILIONI 68.6/- ZATEKETEZWA
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda ameshiriki katika hafla ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya Sh milioni 68.6. Shughuli hiyo ilifanyika wilayani Muleba mkoani...
View ArticlePROFESA LIPUMBA ANG'ANG'ANIA HOJA YA UKAWA
Pamoja na mwito wa Rais Jakaya Kikwete, wasomi na wanasiasa wakongwe na mashuhuri nchini, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameweka bayana kuwa chama chake na washirika...
View ArticleDEREVA WA DALADALA ADAIWA KUUA MPIGADEBE AKIJIHAMI
Jeshi la Polisi katika Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya linamsaka dereva wa basi dogo la abiria `daladala’ linalofanya kazi kati ya mji mdogo wa Sirari, Tarime na Mugumu wilayani Serengeti akihutumiwa...
View Article