Ofisa Utetezi na Mitandao ya Kijamii kutoka Shirika la KIVULINI, Khadija Liganga akifafanua jinsi shirika hilo lilivyoweza kuliinua Shirika la Mtandao la Watoto la Mwanza (Mwanza Youth and Children Network) na kuweza kusimamia na kutetea haki za watoto jijini Mwanza.