Article 19
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakijadiliana jambo kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa siku moja wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya...
View ArticleArticle 18
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati wa kupitia mpango wa Bajeti ya 2014/2015 jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Waziri wa Fedha, Saada Mkuya.
View ArticleJAMII YATAKIWA KUPUNGUZA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA
Jamii imetakiwa kupambana na kupunguza matumizi ya dawa za kulevya, ambazo zimekuwa zikiathiri nguvu kazi kwa vijana. Kauli hiyo ilitolewa jana na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, wakati...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUMA RAMBIRAMBI AJALI YA BASI SINGIDA
Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone kutokana na vifo vya watu 19, wakiwemo polisi wanne na viongozi watatu wa Kijiji.Watu hao walikufa katika ajali...
View ArticlePINDA AAGIZA MADENI YA WALIMU YALIPWE KABLA YA JUNI 30
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameiagiza Wizara ya Fedha kuhakikisha madeni ya walimu yamelipwa hadi kufikia Juni 30 mwaka huu, ili Serikali isiingie na madeni katika Bajeti ijayo.Mbali na madeni ya...
View ArticleAKUTWA AMEKUFA UFUKWENI MWA BAHARI
Mwanaume ambaye bado hajafahamika amekutwa amekufa pembeni mwa ufukwe wa Bahari ya Hindi huku mwili wake ukiwa hauna jeraha lolote.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo alisema maiti...
View ArticleMZINDAKAYA AKERWA KIKWETE KUFITINISHWA NA KAGAME
Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya amekemea baadhi ya vyombo vya habari nchini, kuacha kuandika habari za uchochezi kwamba kutohudhuria kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye sherehe za...
View ArticleJUMUIYA AFRIKA MASHARIKI KUKABILI UGAIDI KWA NGUVU ZOTE
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, amesema nchi wanachama katika jumuiya hiyo, zitatumia rasilimali zao kukabiliana na ugaidi na uhalifu unaozikabili....
View ArticleBENKI YA NMB YAZINDUA HUDUMA YA JIHUDUMIE
Benki ya NMB imezindua kampeni mpya ya Jihudumie, yenye lengo la kuwezesha upatikanaji wa haraka wa huduma mbalimbali za benki hiyo.Akizindua kampeni hiyo Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam...
View ArticleWAJAWAZITO 100,000 WANUFAIKA NA MRADI WA NHIF
Mradi wa huduma za afya kwa akinamama wajawazito wasio na uwezo na watoto, unaotekelezwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Benki ya Maendeleo ya Watu wa Ujerumani (KfW), umevuka lengo kwa...
View ArticleSERIKALI YATETEA TUZO YAKE KWA JAJI WARIOBA
Nishani ya Kuuenzi Muungano aliyopewa Jaji Joseph Warioba, haikumaanisha kumkejeli, bali amepewa kwa heshima kama ilivyo kwa viongozi wengine waliopewa nishani hiyo.Mkurugenzi wa Idara ya Habari...
View ArticleMKUU WA MKOA DAR ASISITIZA MSHIKAMANO MEI MOSI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik amewaomba wananchi kuonesha upendo na mshikamano kwa wageni kutoka nchi nyingine katika sherehe za Mei Mosi.Alisema hayo wakati akizungumza na waandishi...
View ArticleKORTI YAOMBWA MKURUGENZI MSD AKASOMEWE MASHITAKA NYUMBANI
Upande wa mashitaka katika kesi ya kuingiza nchini vipimo bandia vya kupima virusi vya Ukimwi (HIV), umeiomba Mahakama kwenda kumsomea mashitaka nyumbani Mkurugenzi wa Operesheni Kanda ya Kaskazini wa...
View ArticleKESI YA SHEHE PONDA YAKWAMA TENA
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro kwa mara nyingine jana, imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya Katibu wa Taasisi na Jumuiya ya Waislamu Tanzania, Shehe Ponda Issa, kutokana na jadala la...
View ArticleVIGOGO WALIOTIMULIWA MALIASILI WAREJESHWA
Vigogo wa Wizara ya Maliasili na Utalii, waliotimuliwa kazi hivi karibuni na Waziri Lazaro Nyalandu, wamerejeshwa kazini.Taarifa za ndani ya Wizara zilizofikia gazeti hili jana, zilieleza kuwa vigogo...
View ArticleBAJETI YA SERIKALI 2014/2015 SHILINGI TRILIONI 19.7
Serikali imepanga kutumia Sh trilioni 19. 7 katika mwaka wa fedha 2014/2015, kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo, tofauti na Sh trilioni 18.2 ya mwaka huu wa fedha unaoishia Juni 30.Katika...
View ArticleMAPYA YAIBUKA AJALI YA BASI LA SUMRY ILIYOUA WATU 19
Mapya yameibuka katika ajali iliyoua watu 19 waliokufa papo hapo wakiwemo askari Polisi wanne katika ajali ya barabarani, wakati basi linalomilikiwa na Kampuni ya Sumry, lilipopamia watu hao wakati...
View ArticleATLETICO SMASH CHELSEA TO MAKE HISTORIC CHAMPIONS LEAGUE FINAL
By Callum Hamilton - EurosportAtletico Madrid booked their place in the Champions League final to face their cross-town rivals with a stunning result at Stamford Bridge.José Mourinho's men set up to...
View Article