Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakijadiliana jambo kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa siku moja wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Masharariki uliofanyika mjini Arusha jana. (Picha na Freddy Maro).