Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4576 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 16

Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi wa pili kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 15

Makamu Mwenyekiti wa Mfuko wa Sikoseli Tanzania, Dk Julie Makani akihojiwa na waandishi wa habari katika hafla ya kuhamsidha jamii kuhusu ufahamu wa ugonjwa wa sikoseli 'seli mundu' iliyofanyika jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TERRY FIT TO FACE ATLETICO TODAY, CECH RULED OUT

Chelsea manager Jose Mourinho has confirmed Petr Cech is not in contention to play today's Champions League semi-final second leg with Atletico Madrid, but has confirmed that captain John Terry will...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RONALDO BREAKS RECORD AS BRILLIANT REAL SCORE FOUR TO REACH FINAL

Real Madrid booked their place in the Champions League final with a hugely impressive 4-0 victory against Bayern Munich.Three first-half goals shocked the home side, who were constantly at risk from...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAKE OIL YATOA MISAADA KWA HOSPITALI TATU

Kampuni ya Lake Oil imetoa vifaa vyenye thamani ya zaidi ya  milioni 11.3  katika hospitali tatu za halmashauri za manispaa  za Ilala, Temeke na Kinondoni. Msaada huo kwa hospitali za Mwananyamala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMTUMIA SALAMU MFALME WA UHOLANZI

Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za pongezi Mfalme wa Uholanzi, Willem Alexander kwa kutimiza umri wa miaka 47 jana. Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Mataifa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA ILALA ATAKA WATENDAJI KUWA WAAMINIFU

Mkuu wa Wilaya ya Ilala,  Raymond Mushi amewataka watendaji wa kata, mitaa na wenyeviti , kutanguliza mbele suala la uaminifu katika ukusanyaji kodi za majengo ili kuiwezesha wilaya hiyo kufikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUKO WA SEKTA BINAFSI WAZINDULIWA

Rais Jakaya Kikwete amezindua mfuko wa sekta binafsi wa kuwezesha wawekezaji nchini katika kupata mtaji, utakaokuza biashara na kukuza uchumi nchini.Mfuko huo unajulikana kama Mkoba, unalenga kutoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WAPONGEZWA KWA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI

Serikali imepongeza juhudi zilizofanywa na Mradi wa Champion  katika  kupunguza maambukizi ya Ukimwi.Hayo yalisemwa jana na Mganga Mkuu wa Serikali, Donan Mmbando katika mkutano wa kufunga mradi huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LHRC YATAKA CHOMBO KUDHIBITI MASHARTI YA KUKOPA

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeiomba Serikali iunde mamlaka ya kudhibiti taasisi za mikopo, kutoa riba nafuu na masharti rahisi, wananchi wa sekta zisizo rasmi waweze kunufaika....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI TISA ZA MAFUTA ZAFUTIWA LESENI

Bodi ya Wakurugenzi  ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imefuta leseni za kufanya biashara ya mafuta kwa kampuni tisa,  zinazojihusisha na biashara hiyo hapa nchini.Uamzi huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI STRABAG WAENDELEA NA MGOMO WAO

Wafanyakazi wa Kampuni ya ujenzi ya Strabag, wameingia siku ya pili ya mgomo wao huku wakishinikiza kulipwa marupurupu mbalimbali, wanayoyadai kwa zaidi ya miezi saba hadi sasa.Awali, wakizungumza nje...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKILI ADAI KESI YA MWALE ILIFUNGULIWA KIMAKOSA

Upande wa utetezi kwenye kesi ya wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale na wenzake watatu  ya kutakatisha fedha haramu, umedai mashitaka hayo dhidi ya washitakiwa, yalifunguliwa kimakosa kabla ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE 100 SALAMA DHIDI YA SARATANI YA KIZAZI

Zaidi ya wanawake 100 waliojitokeza kupima maambukizi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi katika Jukwaa la Familia Kitchen Party Gala, lililofanyika Dar es Salaam juzi, wamethibitika kutokuwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MLIBERIA ALIYEKAMATWA NA HEROIN ANYIMWA DHAMANA

Raia wa Liberia, Deocntee Togbah (28) anayekabiliwa na mashitaka ya kuingiza dawa za kulevya aina ya heroin, zenye thamani ya Sh milioni 38, amenyimwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJINYONGA CHOONI BAADA YA KUMKUMBUKA MKEWE

Mkazi wa Mtoni Kijichi, Richard Kijazi (36) amekutwa amekufa kwa kujinyonga chooni na kuacha ujumbe kwamba amejiua kwa sababu ya kumkumbuka marehemu mkewe.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTIHANI MPYA KIDATO CHA NNE HUU HAPA, KUSAMBAZWA MEI 10

Wanafunzi wa Kidato cha Nne, watafanya mitihani miwili ya Taifa mwaka huu, baada ya kuongezwa mtihani wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), ambao utatumika kuwapima walivyojiandaa na Mtihani wa Taifa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATANO

   

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 21

Jaji wa Mahakama kuu Mhe.Njengafibili Mwaikugile akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu  katika ofisi za Mahakama kuu jijini Dar es Salaam wakati IGP alipokwenda kula kiapo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 20

Wafuasi wa Shehe Ponda Issa Ponda wakipiga kelele nje ya mahakama jana baada ya kesi ya Shehe huyo kushindwa kusikilizwa.

View Article
Browsing all 4576 articles
Browse latest View live