HALMASHAURI TARIME YATUMIA SHILINGI BILIONI 3.2
Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara imekusanya na kutumia Sh bilioni 3.274 katika robo mwaka hadi Machi mwaka huu. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji, Venance Mwamo alitoa taarifa hiyo ya...
View ArticleNAMIBIA WATAKA KUJENGA MNARA WA KIKWETE KONGWA
Rais mstaafu wa Namibia, Sam Nujoma amemwambia Rais Jakaya Kikwete kuwa sherehe za Muungano zimethibitisha Tanzania inao uwezo wa kutosha wa kijeshi wa kukabili shambulio lolote kwa Afrika kutoka nje...
View ArticleMTUMBWI WAPINDUKA NA KUUA MWANAFUNZI KYELA
Watu wawili akiwemo mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Mwigo wilayani Kyela mkoani Mbeya, wanahofiwa kufa maji katika Mto Kiwira.Hofu ya kufa maji watu hao inakuja baada ya...
View ArticleMKUU WA UPELELEZI AUAWA KWA KUCHOMWA KISU SHINGONI
Mkuu wa Upelelezi, Kituo cha Polisi Isebania Wilaya ya Kurya West, Kenya kilicho mpakani na Tanzania, John Kaduri ameuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na mtuhumiwa wa vitendo vya uhalifu. Mtuhumiwa...
View ArticleMARAIS EAC WAKUTANA KUANGALIA ITIFAKI YA SOKO LA PAMOJA
Marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanafanya mkutano maalumu kesho mjini hapa kutathmini shughuli za jumuiya, ikiwemo kupitia maombi ya Sudan Kusini na Somalia...
View ArticleTUCTA KUPIGANIA 'PAYE' ISHUKE KUTOKA ASILIMIA 13 HADI 9
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), limeazimia kuendelea kupigania kushushwa kwa Kodi ya Mshahara (PAYE) kutoka asilimia 13 inayokatwa hivi sasa hadi asilimia tisa, ili mfanyakazi apate...
View ArticleMAMENEJA WA BENKI YA BARCLAYS WATIWA MBARONI KWA WIZI
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watuhumiwa 13, wakiwamo mameneja wawili wa Benki ya Barclays kwa tuhuma za kuhusika na wizi katika benki hiyo katika tawi la Kinondoni.Mameneja hao...
View ArticleMASHARTI YA THELUTHI MBILI KUKWAMISHA KATIBA MPYA
Hofu ya kutopatikana kwa Katiba mpya, baada ya changamoto zilizojitokeza wakati wa awamu ya kwanza ya Bunge Maalumu la Katiba, sasa ni dhahiri.Hofu hiyo inaonekana katika mahojiano maalumu kati ya...
View ArticleJWTZ WAKABIDHIWA VITABU KWA AJILI YA MAKTABA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekabidhi vitabu 2,181 kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa ajili ya vyuo vya Jeshi ili kuongeza taaluma. Alikabidhi vitabu hivyo jana Dar es Salaam kwa...
View ArticleVODACOM TANZANIA WAENDA 'PEMBEZONI' MWA NCHI
Kampuni ya Vodacom Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya watoa huduma za mawasiliano watakaotoa mawasiliano ya simu vijijini na mijini ambayo awali haikupewa kipaumbele. Katika kufanikisha hilo, kampuni...
View ArticleCCM YAZINDUA SHINA MARYLAND NCHINI MAREKANI
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba amezindua shina la chama hicho Maryland, Marekani. Uzinduzi huo ulifanyika juzi, ikiwa ni mwendelezo wa kuhakikisha wanachama wa chama hicho, wanakuwa...
View ArticleWATAALAMU WAZEMBE WA MIFUGO KUSHUGHULIKIWA
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani amesema Serikali haitasita kumchukulia hatua za kisheria mtaalamu wa mifugo, ambaye eneo lake litabainika kukabiliwa na ukiukwaji wa sheria ya...
View ArticleMFUKO WA PPF WAWAITA WASTAAFU KUHAKIKI TAARIFA
Mfuko wa Pensheni wa PPF wamewaomba wastaafu ambao taarifa zao hazijahakikiwa wafike katika ofisi yoyote ya PPF kuhakiki taarifa zao kabla ya Mei 3, mwaka huu.Meneja Uhusiano na Masoko wa PPF, Lulu...
View ArticleIDA YAPIGA JEKI UJENZI WA RELI YA KATI
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha msaada wa dola za Marekani milioni 300 kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Maendeleo (IDA) kwa ajili ya kuongeza nguvu jitihada za Serikali katika mradi wa...
View ArticleIMF YASISITIZA UTHABITI BRN KUPUNGUZA UMASIKINI
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) iwapo utatekelezwa kikamilifu katika sekta kadhaa, utasaidia upatikanaji wa ajira na kupunguza umasikini...
View ArticleARSENAL CLOSE IN ON TOP FOUR WITH WIN OVER NEWCASTLE
Arsenal are now four points clear of Everton in the final Champions League spot after a 3-0 victory over Newcastle at the Emirates Stadium.Newcastle, who had manager Alan Pardew back on the touchline...
View ArticleArticle 18
Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais Bw.Sazi Salula (katikati) akifungua rasmi kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais kilichofanyika Karimjee jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni...
View ArticleArticle 17
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TTB, Teddy Mapunda akizungumza wakati alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu vivutio vya utalii vya Tanzania katika kongamano la biashara na uwekezaji jijini Abuja,...
View Article