Jamaa kaenda kununua chipsi eneo la jirani. Muuzaji akamuuliza aweke nini? Jamaa akajibu: "Chilitomato." Muuzaji akaweka Chilli na Tomato. Jamaa kuonja tu akaanza kufoka kwa hasira: "Chi nimekwambia chili tomato!" Ebo, kumbe alikuwa Mmakonde na aliposema 'Chilitomato" alimaanisha 'Hali Tomato!" Balaa...
↧