WANAOTUHUMIWA KUMUUA DK SENGONDO MVUNGI WABANWA...
  Washitakiwa wa kesi ya mauaji ya Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Edmund Mvungi wamesomewa mashitaka yao upya na baadhi yao kudai hawana imani na Mkuu wa Gereza la Segerea.Wakili...
View ArticleMWILI WA MTOTO ALBINO WAZIKWA NDANI YA NYUMBA SUMBAWANGA...
Kamanda Jacob Mwaruanda.Mwili wa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne mwenye ulemavu wa ngozi (albinism) umezikwa ndani ya nyumba ya babu yake mjini Sumbawanga katika mkoa wa Rukwa badala...
View ArticleFASTJET YAZINDUA SAFARI MPYA YA NDEGE KWENDA LUSAKA...
Moja ya ndege za FastJet.Shirika la ndege la FastJet la hapa nchini, limeanza rasmi kutoa huduma za usafiri wa anga kati ya Dar es Salaam na Lusaka nchini Zambia.Ndege ya kwanza ya FastJet kutoka Dar...
View ArticleMAZIWA BANDIA YA LACTOGEN YAZAGAA MITAANI DODOMA...
Maziwa halisi ya Lactogen 1 & 2.Wakazi wa mji wa Dodoma wametahadharishwa juu ya kuwapo kwa maziwa ya watoto aina ya Lactogen namba moja na mbili ambayo hayafai kwa matumizi.Tahadhari hiyo...
View ArticleMFUMO WA UPIMAJI MAFUTA MAMLAKA YA BANDARI WAIINGIZIA SERIKALI HASARA...
Moja ya malori yanayosafirisha mafuta.Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema mfumo unaotumiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kupima mafuta yanayoingia nchini...
View ArticleHOFU DHIDI YA MUUAJI YABADILI TABIA ZA WANAUME TARIME...
Kamanda Justus Kamugisha.Baada ya kuwepo jambazi aliyeua watu wanane na kujeruhi watatu wilayani Tarime mkoani Mara, wanaume wa wilaya hiyo sasa wanarejea majumbani mwao saa 1:00 usiku wakihofia...
View ArticleWANAFUNZI 14 WAKUMBWA NA MFADHAIKO SHULENI LINDI...
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mtanda akiingia shuleni.Wanafunzi14 wa Shule ya Msingi ya Mtanda katika Manispaa ya Lindi mkoani hapa wamepatwa na ugonjwa wa mfadhaiko na kupiga kelele wakiwa...
View ArticleMBUNGE WA CHADEMA ATANGAZA KUWANIA URAIS 2015, MUMEWE PIA ATAJWA KUGOMBEA...
Rose Kamili na Dk Willibrod Slaa.Mbunge wa Viti Maalumu wa Mkoa wa Manyara kupitia Chadema, Rose Kamili ametangaza kugombea urais katika uchaguzi mkuu mwakani.Alitangaza kuwania nafasi hiyo jana mbele...
View ArticleWENGER AFUNGUKA DAKIKA ZA MAJERUHI, KIUNGO WA SWEDEN ATUA RASMI ARSENAL...
Kim Kallstrom.Klabu ya soka ya Arsenal ya England usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kumsajili kiungo wa Sweden, Kim Kallstrom kutoka klabu ya Spartak Moscow ya Urusi.Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 31...
View ArticleSIRI YA AJALI ILIYOTAFUNA MAISHA YA ASKARI WATANO DODOMA YAFICHUKA...
Picha mbalimbali za mabaki ya gari dogo walilokuwamo polisi hao.Mwendokasi na kutozingatia sheria za usalama barabarani zimetajwa kuwa chanzo cha ajali mbaya ya barabarani iliyotokea mkoani Dodoma jana...
View ArticleHUKU NI KUTUTAFUTA LAWAMA MADEREVA...
Hakika hakuna namna nyingine ya kuelezea kinachoendelea ila kwa maneno machache tunaweza kusema, "Huku ni kutafutana lawama tu!"Kijana huyu mlemavu anaonekana akiendelea na shughuli yake ya kuomba...
View ArticleMWAMBA WA NYANDA ZA JUU KUSINI AENDELEA KUTIKISA BARABARANI...
Mabasi ya kampuni ya JM Luxury Coach yanaendelea kujizolea umaarufu na kuaminika miongoni mwa wasafiri wa Nyanda za Juu Kusini (Iringa na Mbeya) kwa huduma safi na mwendo mzuri unaozingatia hseria zote...
View ArticleKANISA KATOLIKI LAWATOA HOFU WAUMINI WAKE KUHUSU SAKRAMENTI...
Uongozi wa Kanisa Katoliki nchini umewatoa hofu waumini wake, kuhusu uwepo wa baadhi ya makanisa yanayodaiwa kuuza sakramenti na kueleza kuwa suala hilo haliwahusu. Katibu Mtendaji wa Idara ya...
View ArticleWENYE KERO YA USAFIRI PIGA NAMBA HIZI: 0755660016 NA 0754864829...
Baadhi ya abiria wakikabiliana na kero ya usafiri Stendi Kuu ya Mabasi ya Mikoani Ubungo.Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imetangaza namba za simu zinazoweza kutumiwa...
View ArticleMAMIA WAAGA MIILI YA ASKARI WATANO WALIOKUFA AJALINI DODOMA...
Miili ya askari hao ikiombewa katika ibada maalumu kabla ya kusafirishwa makwao kwa mazishi.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime jana aliongoza mamia ya waombolezaji kuaga askari polisi...
View ArticleWAUAWA KWA TUHUMA ZA KUZUIA MVUA KUNYESHA WILAYANI MASWA...
Watu wawili wa familia moja wameuawa wilayani Maswa mkoani Simiyu, kwa kupigwa na wananchi waliojichukulia sheria mikononi, wakiwatuhumu kuzuia mvua kunyesha hivyo kusababisha ukame kwenye eneo...
View ArticleWATU 129 WAFA, 299 WAJERUHIWA KATIKA AJALI MKOANI SINGIDA...
Basi likiteketea barabarani mkoani Singida.Watu 129 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 299 kujeruhiwa kutokana na ajali mbalimbali za barabarani, zilizotokea katika kipindi cha mwaka mmoja mkoani...
View ArticleWINNIE MANDELA AAMBULIA PATUPU URITHI WA MANDELA, GRACA ARITHI ASILIMIA 50...
KUTOKA KUSHOTO: Winnie Mandela, Jaji Dikgang Moseneke na Mzee Mandela.Mke wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie Madikizela-Mandela ameambulia patupu katika wosia wa kinara huyo wa vita dhidi ya ubaguzi...
View ArticleWANAFUNZI WAVUNJA MAGARI NA MADIRISHA YA MAJENGO LA SHULE...
Kamanda Camillius Wambura.Wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari ya St Anne Marie Academy ya Dar es Salaam, wamefanya vurugu zilizoambata na uharibifu mkubwa wa mali ikiwamo kuvunja vioo vya magari,...
View Article