Quantcast
Channel: ziro99blog
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJEMBE CHA LEO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUILIPA KNCU SHILINGI MILIONI 255 KUFIDIA HASARA...

Ofisi za KNCU.Serikali imekubali kulipa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) 1984, Sh milioni 255. 1, kusaidia chama hicho kufidia hasara iliyotokana na mdororo wa uchumi duniani.Meneja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SASA MARUFUKU KUUZA KEMIKALI KWA WASIO NA LESENI...

Aina mbalimbali za kemikali.Wakala wa maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imepiga marufuku uuzaji wa kemikali kwa mtu yeyote asiye na leseni kutoka kwake. Kaimu Mkemia Mkuu wa Serikali nchini, Sebanito...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE ZA MSINGI ZA SERIKALI SASA ZAGOMEA KISWAHILI...

Mwalimu akifundisha moja ya masomo kwa Kiswahili. Wakati kukiwa na mjadala kuhusu lugha ipi itumike  kufundishia katika shule za msingi za Serikali, kati ya Kiingereza na Kiswahili, tayari baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTUHUMIWA ATUNDIKWA MTINI NA KUBANIKWA KAMA NYAMACHOMA IRINGA...

Ezekiel Kaganga akiwa hospitalini.Ezekiel akionesha majeraha sehemu ya mgongoni.Vitendo vya uvunjaji wa sheria nchini, vinavyofanywa na baadhi ya wananchi kwa kujichukulia sheria mkononi kuwahukumu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWTZ KUJENGA KAMBI YA MUDA KILOSA...

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhandisi Omar Chambo (kushoto) na Mnadhimu wa Jeshi, Abdulrahman Shimbo wakikagua ukarabati wa reli baada ya kuharibiwa na mafuriko Kilosa.Rais Jakaya Kikwete, ameagiza Jeshi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA WAPAMBANA KUZUIA UMEME USISHUKE BEI...

Moja ya vituo vya kuuzia umeme.Wakati Watanzania wakilia ugumu wa maisha  pamoja na mambo mengine, kupanda kwa gharama za nishati ya umeme, imethibitishwa kuwa kuna wafanyabiashara wanapambana bei hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BEI YA KUUNGANISHIWA UMEME SASA NI SHILINGI 27,000 TU...

Moja ya miundombinu ya umeme.Bei ya kuunganisha umeme katika vijiji ambavyo bomba la gesi linapita kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, imeshushwa zaidi na kuwa Sh 27,000.Waziri wa Nishati na Madini,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGIZAJI MASHUHURI WA KUNDI LA FUTUHI AFARIKI DUNIA....

Marehemu Mzee Dude enzi za uhai wake.Msanii maarufu wa kundi la Futuhi, Mzee Dude wa Bane amefariki dunia jana majira ya 11 jioni katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando mjini Mwanza.Vyanzo vya habari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IKULU YAWAJIA JUU WANAOBEZA UTEUZI WA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI...

Salva Rweyemamu.Mjadala kuhusu uteuzi wa Baraza la Mawaziri jipya lililotangazwa karibuni hauna maana na ni kupoteza muda, imeelezwa.Ofisi ya Ikulu imesema mamlaka ya uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMA YA ZITTO KABWE CHADEMA KUJULIKANA HIVI KARIBUNI...

Zitto Kabwe (kushoto) na Dk Willibrod Slaa.Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, amesema hawaogopi kuita Baraza Kuu la Chama hicho,  kusikiliza rufaa ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MDUNGUAJI AUA MWANAJESHI NA WATU WENGINE WANANE TARIME...

Mdunguaji akiwa mawindoni.Jeshi la Polisi limeanzisha operesheni maalumu ya kumsaka mtu anayedaiwa kuwa jambazi, ambaye anaendelea kufanya mauaji wilayani Tarime.Jambazi huyo ambaye amefanya mauaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WAPINGA KIINGEREZA KUTUMIKA KUFUNDISHIA MASHULENI...

Wabunge ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.Mjadala kuhusu lugha ya kutumia kufundishia shuleni umepamba moto, ambapo baadhi ya wabunge wamejitokeza kupinga Kiingereza kutumika kufundishia shule za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAHIDI DHAIFU WAWANUSURU ABSALOM KIBANDA NA WENZAKE...

Absalom Kibanda.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda na wenzake baada ya kuwaona hawana hatia katika mashitaka ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TICTS YAPIGWA MARUFUKU KULIPISHA WATEJA KWA DOLA...

Shehena ya makontena bandarini Dar es Salaam.Wizara ya Fedha imeipiga marufuku Kampuni ya Kuhudumia Kontena Bandarini  (TICTS), kulazimisha wateja kulipia huduma kwa dola ya Marekani.Waziri wa Fedha,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICHO LA TATU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUNGE LATAKA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI UHARAKISHWE...

Daraja la muda Kigamboni.Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelitaka Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuharakisha  kukamilisha ujenzi wa daraja la Kigamboni, ili kutoa nafasi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAULA UJENZI WA MIRADI MIKUBWA YA BARABARA, RELI NA BANDARI...

Matingatinga yakiwa eneo la ujenzi wa barabara.Tanzania imeendelea kupata miradi mikubwa ya maendeleo ya kimataifa, ambapo sasa imeibuka mshindi kimataifa na kukubaliwa kuanzisha mradi mkubwa wa Kanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAZETI LA SERIKALI YA RWANDA LAMKASHIFU RAIS KIKWETE...

Rais Kagame (kushoto) na Rais Kikwete wakifurahia jambo katika moja ya mikutano yao.Rais Jakaya Kikwete, amesikitishwa na chokochoko zinazoendeshwa na gazeti la Serikali ya Rwanda, The News of Rwanda,...

View Article
Browsing all 4529 articles
Browse latest View live