KANISA KATOLIKI LAADHIMISHA MIAKA 150 YA IMANI LIKISIFU UVUMILIVU ZANZIBAR...
Kanisa Katoliki la Minara Miwili, Zanzibar ambalo Padri wake alishambuliwa kwa tindikali hivi karibuni.Kanisa Katoliki leo linaadhimisha miaka 150 ya Imani Endelevu Katoliki Jimbo la Zanzibar huku...
View ArticleKITENDAWILI CHA KUTANGAZWA BARAZA LA MAWAZIRI KUTEGULIWA LEO...
Balozi Ombeni Sefue.Katibu Mkuu Kiongozi na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Balozi Ombeni Sefue ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Mawaziri, leo atazungumza na waandishi wa habari Ikulu, Dar es Salaam....
View ArticleSUMATRA YAZINDUA UTARATIBU MPYA WA RATIBA NA VIBAO MAALUM KWA MABASI...
Baadhi ya mabasi yafanyayo safari zake kati ya Dar na Kilimanjaro.Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imezindua utaratibu mpya wa ratiba na vibao maalumu, vitakavyotumiwa na mabasi...
View ArticleMBATIA ATETEA KITI CHAKE NCCR-MAGEUZI KWA KISHINDO...
James Mbatia.Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametetea nafasi yake na kuibuka mshindi katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho kwa kumbwaga mpinzani wake Charles Makofila kwa kura 201...
View ArticleSASA HALMASHAURI YA JIJI PEKE YAKE KUSIMAMIA MAEGESHO DAR...
Maegesho ya magari kando ya Barabara ya Samora.Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imezinyang'anya rasmi Manispaa majukumu ya kusimamia maegesho ya magari na imefuta vibali vyote vya maegesho...
View Article...HIKI NDICHO KILICHOWANUSURU NA FAGIO 'MAWAZIRI MIZIGO'
Balozi Ombeni Sefue.Serikali imetoa kauli kuhusu tuhuma zilizokuwa zikiwakabili baadhi ya mawaziri, waliobatizwa jina la 'Mawaziri Mizigo', na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa kukabiliana na kero...
View ArticleKUMI WAPYA WAINGIA BARAZA LA MAWAZIRI, WATANO WATUPIWA VIRAGO...
Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kujaza nafasi za mawaziri watano walioacha nafasi zao wazi, kutokana na sababu mbalimbali.Katika uteuzi huo, Rais Kikwete ameteua...
View ArticleMAASKOFU WATAKA TIMUATIMUA KANISA KATOLIKI, WAMFAGILIA PAPA...
Askofu Augustino Shao.Timuatimua inayoendelea kufanywa na Papa Francis katika benki ya Vatican, imevutia maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini ambao wameshauri katika miradi ya Kanisa hilo nchini, hata...
View ArticleMENGI ATOA UFAFANUZI KUHUSU VITALU VYA UCHIMBAJI GESI...
Reginald Mengi.Mwenyekiti wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Reginald Mengi, amesema sekta hiyo nchini haina nia ya kutaka vitalu vya gesi wapewe Watanzania binafsi, ila Serikali iwape Watanzania ambao...
View ArticleHIVI NDIVYO NOAH ILIVYOUA WATU 13 SINGIDA NA BASI KUUA WATU 13 LINDI...
Wasamaria wakisaidia kutoa miili ya abiria waliokufa katika ajali hiyo Singida jana.Watu wamekufa na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea jana, Singida na...
View ArticleHAKIKA HUWEZI KUAMINI KILICHOTOKEA, JAMANI MADEREVA MTATUMALIZA...
Pichani juu ni mabaki ya gari aina ya Toyota Noah baada ya kujibamiza kwenye lori Singida na kuua watu 13 papo hapo. Kuna umuhimu wa mamlaka husika kuwa makini ili kuepusha vifo vya watu wasiokuwa na...
View ArticleMZAHA WA LEO...
Tarehe huwa zinavutia sana hasa kwa wale wanaokuwa ofisini. Utasikia: "Mi nina hamu kweli ya matembele."Mwingine atadakia: "We acha tu, halafu upate na dagaa wako uchanganye na nyanya chungu, mbona...
View ArticleVIONGOZI WA DINI WAINGIA MAKUBALIANO NA SERIKALI KWENYE GESI...
Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wa dini walioshiriki katika kongamano hilo.Serikali imeanzisha utaratibu wa kusimamia rasilimali za nchi kwa kushirikiana na viongozi wa dini, ili...
View ArticleIDADI YA WALIOPOTEZA MAISHA AJALI YA NOAH SINGIDA SASA YAFIKIA WATU 14...
Askari wakichukua moja ya miili ya waliofariki katika ajali hiyo eneo la tukio.Mtoto wa miezi sita aliyejeruhiwa kwenye ajali ya gari dogo la abiria la Toyota Noah na lori la Scania mkoani hapa juzi,...
View ArticleMBUNGE WA CCM JIMBO LA CHALINZE AFARIKI DUNIA...
Said Ramadhani Bwanamdogo.Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa (MOI),...
View ArticleKITUO CHA DALADALA UBUNGO KUHAMISHWA WIKI IJAYO...
Kituo cha daladala kilichopo Ubungo.Kituo cha daladala Ubungo kinatarajiwa wiki ijayo, kuhamishiwa eneo jipya lililo jirani na Mawasiliano Tower. Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda...
View ArticleMAFURIKO YASOMBA BARABARA MOROGORO-DODOMA...
Daraja la Mkundi likiwa limebomolewa kabisa na mafuriko hayo.Mafuriko yaliyotokana na mvua zilizonyesha katika milima ya Kiteto mkoani Manyara, yamesababisha maafa katika Wilaya ya Kilosa na kukata...
View Article